THE SKY IS VERY WIDE, EVERY STAR CAN SHINE(MBINGU NI KUBWA MNO, KILA NYOTA INAWEZA KUNG’ARA)

THE SKY IS VERY WIDE
Duniani hakuna mtu aliyekuwa na hatimiliki ya fursa fulani, fursa zilivyokuwa nyingi kila mahali unaweza ukazifananisha na Anga au Mbingu kubwa iliyobeba nyota nyingi za kila aina. Pamoja na kuwa kuna mamilioni ya nyota lakini bado kila nyota hupata nafasi ya kung’ara bila kipingamizi chochote.Lakini unajua ni kwanini pamoja na fursa kuwa zimejaa mithili ya Mbingu lakini bado watu tunahangaika(tunastruggle) kupata pesa.

Hili ni somo katika group la whatsapp la MICHANGANUO ONLINE lililotolewa jana jumapili siku ya tarehe 4/2/2018 usiku kuhusiana na Mzunguko chanya wa fedha, ni somo lililopendwa na wanagroup wengi, kama msomaji na wewe utakuwa na shauku ya kulisoma bado hujachelewa kwani masomo haya huwa tunayahifadhi kwa ajili ya yeyote atakayejiunga na group, tunampatia masomo yote ya nyuma kisha anaendelea na utaratibu wa kawaida wa kusoma masomo yanayotolewa kila siku usiku saa 3. Wahi kabla offa ya vitabu haijamalizika, bado kidogo idadi tuliyopanga itakamilika na ofa kumalizika. Ada ni sh. elfu 10, tuma na anuani yako ya email.

Ikiwa hutumii WHATSAP siyo shida bado utasoma kama kawaida kupitia email yako au blog ya wanagroup ya private. Namba za kulipia ni 0712202244  au  0765553030  jina litokee, Peter Augustino Tarimo. Namba ya watsapp ni 0765553030. 

NJOO UJIFUNZE MPAKA UELEWE MPANGO WA BIASHARA  NA JINSI YA KUONGEZA MZUNGUKO WA FEDHA KWENYE BIASHARA YAKO.

0 Response to "THE SKY IS VERY WIDE, EVERY STAR CAN SHINE(MBINGU NI KUBWA MNO, KILA NYOTA INAWEZA KUNG’ARA)"

Post a Comment