CHEKI JINSI WADAU WALIVYOCHANGAMKIA OFFA YETU, VITABU NA MICHANGANUO, JE, WEWE UNANGOJA NINI? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

CHEKI JINSI WADAU WALIVYOCHANGAMKIA OFFA YETU, VITABU NA MICHANGANUO, JE, WEWE UNANGOJA NINI?

Hapa nimeweka baadhi tu ya screenshot mbalimbali za watsapp na email zinazoonyesha jinsi wadau tofautitofauti walivyochangamkia offa yetu ya vitu 21, vitabu na michanganuo ya biashara.

1. Mdau huyu  alilipia OFFA yetu ya vitu 22+ na tukamtumia kila kitu kama inavyoonekana katika screenshot hizi tangu anaanza kuwasiliana nasi.















2. Mdau huyu yeye alinunua kitabu cha Mafanikio ya Biashara ya duka la rejareja.





3. Huyu hapa chini ni Mdau wetu toka nchi jirani ya Kenya, yeye baada ya kusoma makala zetu aliamua kuagiza kitabu cha Duka la Rejareja na tukamtumia kwa email, alilipa kupitia mtandao wa Safaricom.













4. Mdau mwingine  huyu hapa chini  alijichukulia OFFA yetu ya vitu 21 Vitabu pamoja na michanganuo ya biashara mbalimbali na kuunganishwa na Mastermind group la MICHANGANUO-ONLINE





 




5. Huyu alinunua kitabu cha MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA kwa njia ya E-mail;






6. Mdau mwingine hapo chini alilipia Somo la Supu na Chapati laini, alikuwa akinikumbusha nimadd kwenye group baada ya kumtumia offa zake.










7. Mdau huyu yeye alilipia kifurushi cha michanganuo 3 ya kuku tukamtumia yote kama inavyoonekana chini;









0 Response to "CHEKI JINSI WADAU WALIVYOCHANGAMKIA OFFA YETU, VITABU NA MICHANGANUO, JE, WEWE UNANGOJA NINI?"

Post a Comment