MBINU ZA KUBAJETI PESA KIDOGO KWENYE BIASHARA MPYA INAYOANZA & CHANGAMOTO KUBWA 3 | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MBINU ZA KUBAJETI PESA KIDOGO KWENYE BIASHARA MPYA INAYOANZA & CHANGAMOTO KUBWA 3

Biashara ndogo inayoanza na changamoto za fedha
Biashara mpya nyingi zinazoanza mara kwa mara huambatana na sifa ya uendeshwaji na mtu mmoja(sole proprietorship) huku bajeti zake zikiwa finyu sana kiasi ambacho wamiliki wake inawawia vigumu sana kubalansi mapato na matumizi yake. Kuna wakati faida inayoingia huwa kidogo kuliko ilivyotarajiwa  na hii hubadilikabadilika kila mwezi na kusababisha kuwepo na siku nzuri na siku mbaya.

Hata hivyo kwa biashara inayoanza  siku mbaya ndiyo huwa nyingi zaidi kuliko siku nzuri, hali hii husababisha pia usimamizi wa fedha kuwa mgumu sana  na siri pekee itakayomwezesha mjasiriamali kuishinda hali hii ni yeye kuanza kubadilika kimtazamo hasa katika matumizi ya kila siku ya fedha  na kuanza kujiwekea akiba au kurudisha faida katika mzunguko wa biashara jambo ambalo ndiyo msingi wa maendeleo ya biashara yeyote ile nzuri.

Kuweka akiba au utunzaji mzuri wa fedha hakumaanishi kubana matumizi kupita kiasi hapana, bali maana yake ni kutumia kwa uangalifu fedha tu kwenye vile vitu muhimu zaidi, hili halipo tu katika biashara bali na hata katika upande wa maisha binafsi ya mtu ya kila siku. Kuna wakati hata itakulazimu kuzitoa mhanga pesa zako mwenyewe za mfukoni kwenye biashara yako ili tu iweze kuvuka pale mahali ilipo. Jambo muhimu hapa ni kuchagua kwa busara ni wapi utumie pesa na wala siyo suala la kujizuia kutumia pesa kabisa.


Ukiwa kama mjasiriamali uliyejivika kofia zote mwenyewe unapaswa kufikiria kuhusu kubajeti fedha zako, ni wapi uzitumie rasilimali chache ulizokuwa nazo na pia ni vipi uutumie muda wako kwa ufanisi zaidi. Zifuatazo hapa chini ni changamoto kubwa 3 biashara mpya inazokumbana nazo, na baadae tutaona namna mjasiriamali unavyoweza ukakabiliana na changamoto hizo hadi kuzishinda na biashara yako kusonga mbele kifua mbele…….

..............................................................
..............................................................

Mpenzi msomaji, makala hii nzima iliyokamilika tutajifunza leo hii usiku Jumatatu ya tarehe 05/6/2023 katika group la Whatsap la Michanganuo-online. Kiingilio ni shilingi elfu 10 tu na baada ya kulipa nakuunganisha na group pamoja na kukutumia muda huohuo OFFA ya vitu 12, (itabu na michanganuo ya biashara mbalimbali) pamoja na masomo yote ya fedha yaliyopita kwenye group.

Namba za kulipia ni 0712202244  au 0765553030
Jina Peter Augustino Tarimo


OFFA HIYO YA VITU 12 NI HII HAPA CHINI;


                 1.      COURSE/SEMINA: (compiled complete course) ya Jinsi ya kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili

                 2.       KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu za BIASHARA, jinsi ya kuandaa michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika kila kitu.kwa kiswahili

                 3.      KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili

                 4.      KITABU: Siri za upishi wa chapati laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili

                 5.       KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili

                 6.       KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ni maarufu sana duniani na ndio hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza

                 7.       MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini Broilers - kwa kiswahili

                 8.      MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza

                 9.      MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za saruji- kwa kiswahili

              10.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili

              11.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza

              12.    MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili

              13.    Kuunganishwa Group la masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka hatukuunganishi)

 

Somo hii limeandaliwa na:

Peter Augustino Tarimo

Mtaalamu wa Michanganuo ya biashara aina zote

Phone/Watsap: 0765553030 au 0712202244

0 Response to "MBINU ZA KUBAJETI PESA KIDOGO KWENYE BIASHARA MPYA INAYOANZA & CHANGAMOTO KUBWA 3"

Post a Comment