HUDUMA ZETU

HUDUMA NA BIDHAA MBALIMBALI TUNAZOTOA:
Self Help Books pamoja na kuuza vitabu vya aina mbalimbali pia tunatoa na huduma nyinginezo kama ifuatavyo;


1. VITABU VYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI

1.  Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali sh. 20,000/= Hardcopy(cha karatasi ) na 10,000 softcopy kwa email

2.  Siri ya mafanikio ya Biashara Duka la Rejareja sh. 10,000/= cha karatasi na 5,000/= softcopy

3.  Mifereji ya Pesa na Siri Matajiri wasiyopenda kuitoa sh. 5,000/= cha karatasi na 3,000/= softcopy

*Gharama ya kuletewa kitabu mpaka pale ulipo kwa Dar es salaam ni sh. 2,000/= na Mikoani kwa basi ni sh. elfu 10. au unamwagiza mtu anayefika dar kwa bei ya kawaida ya kitabu.


2. SEMINA KWA NJIA YA EMAIL, WHATSAPP NA BLOGU MAALUMU YA PRIVATE

Semina iliyokuwepo sasa hivi ni Semina ya Michanganuo ya biashara(MICHANGANUO ONLINE) ambayo kiingilio chake ni shilingi 10,000/= ukishalipa mara moja unapata tiketi ya kushiriki semina nyingine zote zilizopita na zijazo.

Unaingia katika kundi la Whatsap la masomo kila siku yanayohusu, Michanganuo, Jinsi ya kuongeza mzunguko wa fedha kwenye biashara pamoja na miradi au biashara bunifu za kipekee kwa mwaka mzima wa 2018. Ikiwa hutumii whatsapp bado utapata masomo kama kawaida kupitia email yako na kwenye Blog maalumu ya private.

Katika blogu hiyo ya Semina pia unapata fursa mbalimbali pamoja na vitu adimu kabisa ambavyo ni spesho kwa wale waliojiunga tu na kutoa kiingilio chao sh. elfu 10, kuna vitu kama elimu maalumu binafsi ya fedha(Special personal cashflow management) pamoja na mbinu za kuboresha mtiririko wa fedha kwa ujumla katika biashara ambazo ndiyo nyenzo muhimu kabisa katika kuamua mtu ufanikiwe au usifanikiwe.


3. USHAURI KWA WAJASIRIAMALI WADOGO NA WALE WANAOAZA BIASHARA

1.  Ushauri mfupi kwa njia za meseji, simu au wasap kwa wajasiriamali wadogowadogo hasa wale wanaoanza. Huduma hii kwa sasa hivi ni bure, hatuchaji gharama yeyoteRATIBA YA UWEKAJI MAKALA KILA SIKU

(a) Makala zinaendelea mfululizo(series)
Jumatatu  na  Alhamisi
Tafsiri ya Think & Grow Rich
Kila siku
Makala za kawaida
Kila siku
Vitabu 300 vya pesa na mafanikioKaribu sana upate huduma bora kabisa, semina na vitabu kwa gharama nafuu uboreshe biashara na maisha yako kwa ujumla.

Mhamasishaji na mwandishi wako.
Peter A. Tarimo

SIMU:               0712 202244
WHATSAPP     0765 553030

0 Response to "HUDUMA ZETU"

Post a Comment