HUDUMA ZETU

HUDUMA NA BIDHAA MBALIMBALI TUNAZOTOA:
Self Help Books pamoja na kuuza vitabu vya aina mbalimbali pia tunatoa na huduma nyinginezo kama ifuatavyo;


1. VITABU VYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI

1.  Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali sh. 20,000/= Hardcopy(cha karatasi ) na 10,000 softcopy kwa email

2.  Siri ya mafanikio ya Biashara Duka la Rejareja sh. 10,000/= cha karatasi na 5,000/= softcopy

3.  Mifereji ya Pesa na Siri Matajiri wasiyopenda kuitoa sh. 5,000/= cha karatasi na 3,000/= softcopy

*Gharama ya kuletewa kitabu mpaka pale ulipo kwa Dar es salaam ni sh. 2,000/= na Mikoani kwa basi ni sh. elfu 10. au unamwagiza mtu anayefika dar kwa bei ya kawaida ya kitabu.


2. SEMINA KWA NJIA YA EMAIL, WHATSAPP NA BLOGU MAALUMU YA PRIVATE

Semina iliyokuwepo sasa hivi ni Semina ya Michanganuo ya biashara(MICHANGANUO ONLINE) ambayo kiingilio chake ni shilingi 10,000/= ukishalipa mara moja unapata tiketi ya kushiriki semina na masomo yote mengine yajayo pia utatumiwa baadhi ya masomo na semina nyingine zilizopita.

Unaingia katika kundi la Whatsap la masomo kila siku yanayohusu, Michanganuo, Jinsi ya kuongeza mzunguko wa fedha kwenye biashara pamoja na miradi au biashara bunifu za kipekee kwa mwaka mzima wa 2018. Ikiwa hutumii whatsapp bado utapata masomo kama kawaida kupitia email yako na kwenye Blog maalumu ya private.

Katika blogu hiyo ya Semina pia unapata fursa mbalimbali pamoja na vitu adimu kabisa ambavyo ni spesho kwa wale waliojiunga tu na kutoa kiingilio chao sh. elfu 10, kuna vitu kama elimu maalumu binafsi ya fedha(Special personal cashflow management) pamoja na mbinu za kuboresha mtiririko wa fedha kwa ujumla katika biashara ambazo ndiyo nyenzo muhimu kabisa katika kuamua mtu ufanikiwe au usifanikiwe.


3. USHAURI KWA WAJASIRIAMALI WADOGO NA WALE WANAOAZA BIASHARA

1.  Ushauri mfupi kwa njia za meseji, simu au wasap kwa wajasiriamali wadogowadogo hasa wale wanaoanza. Huduma hii kwa sasa hivi ni bure, hatuchaji gharama yeyoteRATIBA YA UWEKAJI MAKALA KILA SIKU

(a) Makala zinaendelea mfululizo(series)
Kila siku
Makala za kawaida na ushauri 
Kila Jumatatu & Alhamisi
Tafsiri ya kitabu, Think & Grow rich
Jumatano na Jumapili
MapitioVitabu 300 vya pesa na mafanikio4. HUDUMA YA KUANDIKIWA MCHANGANUO WA BIASHARA
Kwa anayetaka huduma ya kuandikiwa mchanganuo wa biashara yake(BUSINESS PLAN) iwe mpya au ya zamani, tunatoa huduma hiyo kwa kushirikiana naye. Tunakutumia maswali online ambayo baada ya kuyajibu ndiyo yatakayokuwa msingi wa mpango wako mzima. 

Kazi hiyo huchukua siku 5 mpaka 7 kulingana na mteja utakavyokamilisha utafiti wa maswali tunayokutumia. Gharama ni shilingi laki moja (100,000) kwa aina zote za michanganuo uwe ni wa kuombea fedha au ni kwa ajili ya kuendeshea tu biashara yako na mteja hutoa advance shilingi elfu 50 mwanzoni na kumalizia shilingi elfu 50 siku ya mwisho.

Mteja huchagua ni lugha gani, kiswahili ama kiingereza kitumike katika kuandika mchanganuo wa biashara yake. Mchangnuo huwa na vipengele vyote muhimu au kulingana na matakwa ya mteja mwenyewe. Huduma hufanyika mtandaoni(Online) na mteja hana haja ya kutembea mpaka tulipo, tunamtumia mchanganuo wake kupitia email au whatsapp na malipo ni kupiti simu ya mkononi.  

Karibu sana upate huduma bora kabisa, semina na vitabu kwa gharama nafuu uboreshe biashara na maisha yako kwa ujumla.

Mhamasishaji na mwandishi wako.
Peter A. Tarimo

SIMU:               0712 202244
WHATSAPP     0765 553030

2 Responses to "HUDUMA ZETU"