Hii
ni sehemu kidogo sana ya mafunzo yetu ya kulipia kwenye darasa la MICHANGANUO-ONLINE MASTERCLASS ambapo
washiriki hujifunza kwa kina kuandika hatua kwa hatua kivitendo mchanganuo kamili
wa biashara vipengele vyote
Darasa
linaloendelea sasa hivi tunaandika mchanganuo wa Biashara ya usagishaji unga wa
Sembe & Dona ya Kampuni moja huko Chamazi Temeke jijini Dar es salaam
iitwayo Chamazi White Maize Milling Company
Maelezo
haya yamekatishwa sehemu kubwa na mtu yeyote anaweza kupata mfululizo wake
kamili pale tu anapojiunga na darasa hilo. Utaona sehemu
iliyowekwa.......................(desh – desh – desh - - - -), ilitakiwa kuwa
na maelezo kamili lakini yamekatwa
Mafunzo
hutolewa kila siku na mshiriki huanza mara moja kujifunza pale tu anapojiunga
kwa muda wa siku 7, akimaliza huendelea kubaki darasani kwa uangalizi mpaka
atakaporidhika mwenyewe ameelewa
Kabla ya kujiunga darasa la kulipia hakikisha kwanza umepata course yetu nyingine ya bure kwenye kundi la MAKE YOURSELF GREATAGAIN, unaweza kuingia kwa kubofya hilo jina la group
Ada
ya kujiunga darasa la malipo ni shilingi 20,000/= lakini kuna offa kwa watu
wachache ya kulipia shilingi 10,000/= tu, unaweza kuwahi ikiwa kama nafasi bado
zipo
MAFUNZO
YA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YA USAGISHAJI SEMBE & DONA
SIKU YA KWANZA:
Karibuni
wadau kwenye mafunzo yetu haya ya kuandika mchanganuo wa biashara ya usagishaji
sembe & Dona kwa vitendo
Nina
imani toka jana kila mmoja wetu amekuwa akijifunza yale masomo ya msingi 11 ya
jinsi ya kuandika mpango wa biashara yeyote ile
Leo
ratiba yetu inasema tunajifunza kwa vitendo kuandika vipengele 2, kile cha Muhtasari na Maelezo ya Biashara / Kampuni,
lakini kabla hatujaanza nitatoa
kwanza maelezo mafupi yafuatayo;
Kwakuwa
mchanganuo huu nilishauandika tayari, kitu kikubwa nitakachokifanya hapa ni
kukuonyesha jinsi nilivyoandika hatua kwa hatua, na siyo kurudia tena yale
masomo ya msingi uliyojifunza. Nitakuonyesha exactly kila
hatua niliyopitia
Baada
ya kupata wazo lako la biashara, tuseme labda unaandika mchanganuo kwa ajili ya
biashara yako mwenyewe au kuna Client
amekupa kazi ya kumuandikia mchanganuo wake, hebu tuone ni kitu gani cha kwanza
utakachokifanya
Bila
shaka yeyote, hiyo biashara itakuwa unaelewa machache sana kuihusu, na hivyo
itakubidi uanze kazi ya kuifanyia utafiti kusudi uweze kuifahamu vizuri nje
ndani
Kwenye
masomo yetu ya msingi kuna maelezo juu ya utafiti wa biashara/soko hivyo
nitaelezea moja kwa moja jinsi mimi nilivyofanya utafiti wangu kabla sijaanza
kuandika mchanganuo huu. Majibu ya utafiti huo ndiyo nitakuja kuyatumia kwa
kiasi kikubwa kuandika vipengele
mbalimbali vya mchanganuo wangu
JINSI NILIVYOFANYA UTAFITI WA HII
BIASHARA
Katika
utafiti wangu nilizingatia zaidi vipengele vya Soko, Bidhaa, Teknolojia /
ufundi, Uongozi na Fedha........................... ...................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Baada
sasa ya kumaliza utafiti wangu huu na kukusanya taarifa nyingi kadiri
nilivyoweza, nilikaa chini na kuanza kuzichambua kwa ajili ya kuandika
vipengele vya mchanganuo wangu.
Ukisha
pata data/taarifa zako, kazi ya kuandika ni rahisi mno! Sasa twende moja kwa
moja tukaanze kuandika vipengele vyetu vya leo vya Muhtasari na Maelezo
ya Biashara.
KIPENGELE CHA1: MUHTASARI
.........................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
KIPENGELE CHA 2: MAELEZO YA BIASHARA / KAMPUNI
Maelezo
ya Biashara au Kampuni ikiwa unaandikia biashara yako mwenyewe, basi huna hata
haja ya kuyafanyia utafiti kwani mengi utakuwa mwenyewe unayafahamu vizuri,
lakini ikiwa ni mteja/client amekupa kazi, basi utatakiwa kumuuliza vizuri
maswali kusudi akupatie maelezo yote yanayohitajika kwa kuwa ni yeye mwenye dhima
na maono ya biashara yake
Kuna
baadhi ya maelezo utahitaji kutumia taarifa za utafiti mfano kwenye kipengele
kidogo cha Kianzio au mahitaji, zile namba pale ni lazima uwe umetafiti ni kitu
gani kinahitajika na kinauzwa shilingi ngapi dukani au sokoni
Kwa
mfano kwenye mchanganuo huu wa Chamazi.............................. ...............................................................................................................................................................................................................................
................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
..............................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Tuishie
hapa kwa leo, kesho tutaendelea na vipengele vingine 2 vya “Malezo ya Bidhaa”
na “Tathmini ya Soko”
0 Response to "MAFUNZO YA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YA USAGISHAJI SEMBE & DONA KWA VITENDO"
Post a Comment