Home » Ugunduzi
Showing posts with label Ugunduzi. Show all posts
Showing posts with label Ugunduzi. Show all posts
UWEZO WETU WA KUFIKIRI WATANZANIA NI MDOGO:TAFITI
Bendera ya Tanzania Tafiti za hivi karibuni na za kuaminika kutoka kwa wataalamu zinaonyesha kwamba nchi ya Tanzania ipo ndani ya kum...
Read More
SAFARI YA KWENDA KUTUA MWEZINI: CHINA YAWA NCHI YA TATU BAADA YA MAREKANI NA URUSI
Rocket iliyobeba Chang'e-3 kikiwa ndani na "Rabbit" sungura kikirushwa kutoka eneo la Xichang kituo cha kurushia Satellite...
Read More
WANASAYANSI WA TIBA WATUZWA TUZO YA NOBEL KWA UGUNDUZI
Msimu wa kutoa tuzo za Nobel umeanza kwa kutunzwa wanasayansi watatu na tuzo ya Fiziolojia au Utabibu, ambayo mwaka huu imewaendea Mjerumani...
Read More
CHANJO YA UKIMWI YAMALIZA KABISA VIRUSI NDANI YA SOKWE
Kufanyiwa majaribio kwa binadamu hivi karibuni Virus wa Ukimwi Chanjo kwa Nyani inayofanana naya Ukimwi kwa binadamu imeonyesha kutok...
Read More
Kenya yagundua visima vikubwa vya maji chini ya ardhi
Eneo la Turkana lenye ukame mkubwa Serikali ya Kenya imetangaza ugunduzi wa visima vikubwa vya maji chini ya ardhi ambavyo vinaweza kum...
Read More
PROGRAMU YA KOMPYUTA INAYOTUMIA TWITTER KUPIMA HISIA ZA WATU YAGUNDULIWA.
Wanasayansi wa Kiingereza wamegundua programu ya kompyuta ambayo wanadai inao uwezo wa kupima hisia za wananchi katika Taifa kwa kutumia mt...
Read More
KUMBE SOKWE HUGAWANA VITU SAWA KAMA BINADAMU.
Tabia ya binadamu ya kugawana vitu imeanza zamani kuliko ilivyokuwa imefikiriwa hapo kabla. Imeanza tangu alipokuwa na umbile kama la sok...
Read More
WANASAYANSI WAGUNDUA MNYAMA WA AJABU
Wanasayansi wa Marekani wamegundua aina mpya ya mamalia anayeishi misitu minene huko Colombia, na Equado anayeitwa Olinguito na ni kwa mar...
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)