MBINU ZA KUBADILISHA ASSET MBAYA ZINAZOTAFUNA PESA ZAKO KUWA ASSETS NZURI ZINAZOKUINGIZIA PESA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MBINU ZA KUBADILISHA ASSET MBAYA ZINAZOTAFUNA PESA ZAKO KUWA ASSETS NZURI ZINAZOKUINGIZIA PESA

Asset nzuri inayozalisha pesa badala ya kula pesa
Inawezekana hapo ulipo umeshanunua assets (rasilimali) nyingi sana mbaya lakini sasa ungependa kuzibadilisha na kuwa asseti nzuri zitakazokutiririshia pesa hata ukiwa umelala au unaumwa, hujachelewa bado inawezekana…...


Matajiri ni watu wajanja sana, hununua asseti zote, mbaya na nzuri lakini huzibadilisha zile mbaya kuwa nzuri zinazowalipa pesa wakati huohuo masikini yeye hapendi kununua asseti nzuri, hukimbilia kununua zile mbaya na wala hajui kabisa kuzibadilisha kuwa asseti nzuri zinazoweza kumpa hela.


Asseti nzuri na sseti mbaya ni kitu gani?
Asseti nzuri maana yake ni zile rasilimali zilizo na uwezo wa kumzalishia mtu faida(pesa) wakati Asseti mbaya(liabilities) ni zile rasilimali zinazomfanya mtu atoe pesa mfukoni kuzihudumia. Katika kitu kikubwa kinachowatofautisha watu wanaopata mafanikio kifedha  na wale wanaohangaika bila hata ya kuwa na uhakika wa mlo wa siku, ni jinsi watu hao wanavyowekeza fedha zao katika rasilimali(assets)

Kwa wajasiriamali wadogo wanaoanza, wengi huwa hawajui waweke kipaumbele chao kununua asseti zipi na matokeo yake huishia kununua asseti mbaya ambazo mwisho wake wanaishia kwenye umasikini wa kutisha. Ukitaka kujiwekea misingi imara kifedha ni lazima uanze mara moja kujijengea nidhamu nzuri ya kifedha, uvumilivu na kujiwekea lengo la kuweka akiba ya kutosha kabla hujaanza kuwekeza kwenye ASSETS au vitegauchimi vinavyolipa.


Ni vigumu binadamu kuishi maisha bila ya kukutana na majanga na matukio yasiyotarajiwa, wakati mwingine hata kile unachokipanga hakitokei vilevile ulivyopanga. Kwahiyo ikiwa umewekeza fedha zako nyingi katika asseti mbaya na kwa bahatimbaya mambo yakawa magumu kifedha, utaishia kuziuza rasilimali hizo na hali itazidi kuwa ngumu. Baadhi ya Asseti nzuri ni hizi zifuatazo;

·       Nyumba ya kupangisha
·       Hisa kwenye makampuni.
·       Kiwanja
·       Vyombo vya biashara kama gari, mitambo nk. Pamoja na mali nyine zozote zile zenye uwezo wa kukuzalishia pesa kila mwezi hata kama haufanyi kazi moja kwa moja.

Asseti mbaya(Liabillities)
Aseti mbaya zina tabia ya kutafuna pesa ulizo nazo, uwe unafanya kazi, unaumwa au hata hufanyi chochote. Baadhi yake ni hizi zifuatazo;

·       Nyumba yako mwenyewe ya kuishi.
·       Gari la kutembelea
·       Vyombo vya ndani kama TV, Redio nk
·       Krediti kadi
·       Mikopo ya matumizi yasiyo ya kibiashara
·       Mkopo wa nyumba ya kuishi
·       Na vitu, vyombo, mashine au mitambo yeyote ile iliyo na tabia ya kuchota fedha kutoka mfukoni mwako badala ya kuongeza.  


Kama uonavyo hapo juu, orodha ya Asseti mbaya ni ndefu kushinda ile ya asseti nzuri na ni rahisi zaidi mtu kuzinunua, huwa zina tabia ya kumvutia mtu azinunue tofauti na zilivyo asseti nzuri ambazo ununuaji wake hauwavutii sana watu.

JINSI YA KUZIBADILISHA ASSETI MBAYA KUWA ASSETI NZURI ZINAZOLIPA

Inawezekana umeshanunua assets nyingi sana mbaya na sasa ungependa uzibadilishe kuwa rasilimali nzuri zinazokutiririshia fedha, hujachelewa bado unaweza…...............................

......................................................................................................................................................................................................

Kupata Somo hili zima ili ufahamu kwa kina jinsi ya kubadilisha assets mbaya kuwa assets nzuri zinazozalisha pesa ungana nasi kwenye Master Mind group la MICHANGANUO-ONLINE leo tarehe 04/06/2023 usiku saa 3 -4

Utapata pia OFFA ya vitu 12, vitabuna Michanganuo kamili ya biashara, utapewa na masomo mengine yote ya PESA yaliyopita tangu darasa lianze, pamoja na fursa ya kushiriki bure semina mbalimbali za uandaaji wa Michanganuo ya biashara BUNIFU kwa mwaka huu mzima.

Kiingilio ni sh. elfu 10, tu mwaka mzima. Lipia kupitia namba, 0712202244 au 0765553030. Jina ni Peter Augustino Tarimo, kisha tuma na ujumbe usemao, "NIUNGANISHE MASTERMIND GROUP NA OFFA YA VITU 12" Utainganishwa muda huohuo na kutumiwa kila kitu. Ikiwa hutaki group ungepednelea offa peke yake nijulishe nisikuunge.


Ikiwa hutumii watsap, tuma anuani yako ya email tutakutumia kila kitu kwa email.

 

VITU 12 VYA OFFA NI HIVI VIFUATAVYO;-

                 1.      COURSE/SEMINA: (compiled complete course) ya Jinsi ya kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili

                 2.       KITABUMichanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu za BIASHARA, jinsi ya kuandaa michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika kila kitu. – kwa kiswahili

                 3.      KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili

                 4.      KITABU: Siri za upishi wa chapati laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili

                 5.       KITABUNjia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili

                 6.       KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ni maarufu sana duniani na ndio hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza

                 7.       MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini Broilers - kwa kiswahili

                 8.      MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza

                 9.      MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za saruji- kwa kiswahili

              10.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili

              11.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza

              12.    MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado millingkwa Kiswahili

              13.    Kuunganishwa Group la masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka hatukuunganishi)

 

Somo hii limeandaliwa na:

Peter Augustino Tarimo

Mtaalamu wa Michanganuo ya biashara aina zote

Phone/Watsap: 0765553030 au 0712202244


0 Response to "MBINU ZA KUBADILISHA ASSET MBAYA ZINAZOTAFUNA PESA ZAKO KUWA ASSETS NZURI ZINAZOKUINGIZIA PESA"

Post a Comment