NITAWEKEZAJE KWENYE ARDHI NA MAJENGO WAKATI SINA HATA MIA MFUKONI?

UWEKEZAJI KATIKA ARDHI NA MAJENGO
Baadhi ya watu wameishiwa kabisa hamu ya kufikiria kuwekeza kwenye biashara ya ardhi na majengo kutokana na kukosa pesa za kufanya hivyo na dhana iliyojengeka kwamba biashara hii walio na uwezo nayo ni matajiri tu wenye pesa zao. Watu hao hujiuliza hivi; “Ikiwa sina hata mia mfukoni ya kuanzisha biashara ya kawaida, sembuse niweze kuingia kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo unaohitaji mamilioni?”

Ukweli ni kwamba ni rahisi sana mtu kutengeneza pesa  ikiwa tayari unazo pesa  na hii ndiyo sababu kubwa ya matajiri wengi kuendelea kuwa matajiri wakati masikini wakiendelea kudidimia katika umasikini.

SOMO: Unajia biashara yenye faida kubwa na ya haraka mara mbili ya mtaji unaowekeza?

Hata hivyo habari njema kwa watu wa namna hii ni kwamba zipo njia chache ambazo mtu asiyekuwa na hata mia mfukoni anaweza kuzitumia mwishowe akaweza kutimiza ndoto yake ya kumiliki biashara ya uwekezaji katika ardhi na majengo kwa muda mfupi tu. Nitazungumzia njia 2 lakini kabla sijaanza, tambua kuwa uwekezaji katika ardhi na majengo ni miradi inayohitaji uwekezaji wa kiwango kikubwa cha fedha kuliko biashara za kawaida na pia haijalishi una umri gani kuwa mwekezaji, unaweza kuwa na umri wa miaka 15, 45 au hata 70 na kuendelea.

..............................................................

Hili ni somo letu la leo katika Group la WHATSAPP la MICHANGANUO ONLINE, BLOG ya michanganu na katika EMAIL, masomo haya ni kila siku usiku saa 3 - 4, kwa kiingilio cha sh. elfu 10 tu ambayo ni ada ya kudumu hutalipa tena na group halina ukomo wa muda. Mbali na semina hizi za kila siku pia tunakutumia masomo, vitabu na vitu vyote hapa chini muda unapojiunga.

SIMU:         0712202244 au 0765553030
Whatsapp:  0765553030


0 Response to "NITAWEKEZAJE KWENYE ARDHI NA MAJENGO WAKATI SINA HATA MIA MFUKONI?"

Post a Comment