NYERERE DAY: JIPATIE VITABU VYETU LEO KWA BEI YA PUNGUZO! | JIFUNZE UJASIRIAMALI

NYERERE DAY: JIPATIE VITABU VYETU LEO KWA BEI YA PUNGUZO!

nyerere day na offa kubwa ya vitabu(punguzo la bei ya vitabu vya self help books)

Siku ya leo October 14 2021 kwa heshima ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Kampuni ya Self Help Books Tanzania inatoa punguzo (Offa) kubwa ya bei ya vitabu vyake vyote 4 katika mfumo wa Softcopy. 

Badala ya kulipa shilingi elfu 33 vyote 4 mteja atalipia shilingi elfu 10,000/= tu kwa nakalatete (Softcopy) za vitabu vyote 4 kwenye simu yake ya mkononi.

Punguzo hili litadumu kwa siku moja ya leo tu mpaka saa 6 usiku.

Vitabu vitatu (3), MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI, MAFANIKIO YA DUKA LA REJAREJA NA MIFEREJI 7 YA PESA vitatumwa moja kwa moja kupitia email au watsap. 

Wakati kile cha nne cha FIKIRI & UTAJIRIKE mteja atapewa Coupon itakayomwezesha kukinunua kitabu hicho kwa bei ya punguzo ya shilingi elfu moja tu badala ya elfu 15 katika mtandao huu wa GETVALUE.

OFFA hii haitarudiwa tena hivyo kama unahitaji vitabu hivi ni vizuri ukajitahidi kuwahi kabla haijamalizika usiku wa leo saa sita. 

Mwalimu Nyerere akisoma kitabu

Mwalimu Nyerer alikuwa mwandishi na mtu anayependa sana kusoma vitabu.


 
SOMA PIA NA HIZI HAPA:

0 Response to "NYERERE DAY: JIPATIE VITABU VYETU LEO KWA BEI YA PUNGUZO!"

Post a Comment