Habari za majukumu ndugu yangu na
mdau wa blogu hii;
Nikutakie
Heri na Baraka tele katika sikukuu zote za mwisho wa mwaka huu 2022, na leo ujumbe
wangu mkubwa kwako utahusu zawadi ninayotaka kukupa.
Mwaka unaomalizika wa 2022 nilikuwa nikitoa zawadi mara
kwa mara kwa wadau wangu katika blogu ya jifunzeujasiriamali na wale wa masomo
kwa email. Wengi walichangamkia fursa hiyo na kwa kweli tunawashukuru sana kwa
mwitikio wenu mzuri. Si kama nasema kutokea hewani bali nina baadhi ya ushahidi
hapa kwa wale waliochangamkia OFFA na vitabu vyetu mbalimbali.
Lakini bado wapo baadhi ya wadau walioshindwa kujipatia
offa hizo kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wao.
Kwa bahati njema kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka tunatoa
zawadi ya mwisho kwa yeyote yule ambaye hakuweza kupata.
Kwa kawaida huwa natoa zawadi kitabu changu kikubwa kiitwacho
MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI,
vitabu vingine mbalimbali, Michanganuo kamili ya biashara mbalimbali pamoja na
nafasi ya kujiunga MASTERMIND GROUP la MICHANGANUO-ONLINE kwa mwaka mzima,
lengo likiwa ni kuwafanya watu wengi zaidi kujifunza biashara na ujasiriamali
kwa gharama nafuu kuliko kama wangeliamua kununua course hizo moja moja.
Kwa kuwa tunazo nafasi chache sana, offa hii ya mwisho
kabisa ya vitu 22+ itadumu kwa siku tatu (3) pekee, yaani tarehe 25 siku ya
Krismasi, tarehe 26 na tarehe 27 tu. Nimeiita OFFA22+ (plus) kutokana
na orodha yetu kuongezeka kitabu cha Think and Grow Rich-Swahili edition
kwa yule mwenye Smartphone na angependa kuwa nacho kwa gharama nafuu
OFFA hii unalipa shilingi elfu 10 tu kwenye namba zangu, 0712202244 au 0765553030 kisha nakutumia kwa email au watsap vitabu na
michanganuo jumla vitu 22 kisha unaweza kuongeza shilingi elfu 5 kupata softcopy
ya Think & Grow Rich-swahili ndani ya simu yako kutoka mtandao wa GETVALUE kwa link maalumu kabisa
nitakayokutumia wewe tu.
OFFA hii ikipita tarehe 27 Desemba njia pekee ya kuweza
kuvipata vitu hivi 23 ni kuvilipia
shilingi elfu 10 kila kimoja ambapo gharama inaweza kufika mpaka laki 2 na
zaidi! tazama bei ya kila kimoja kwenye duka letu la vitabu la SMARTBOOKSTZ hapa.
Kitu kingine ambacho najua hujui au unakichukulia
rahisirahisi ni MICHANGANUO-ONLINE MASTERMIND
GROUP. Nikuhakikishie tu kwamba Tanzania nzima huwezi kukuta group kama
hili unaloweza kupata somo jipya kila siku lenye maudhui ya pesa huku ukijifunza
Business
planning kila siku na kuuliza swali lolote kuhusiana na Michanganuo na
biashara kwa ujumla.
Ikiwa unataka kujifunza kuandika mpango wa biashara au
unataka kuandika tu, unataka tukuandikie kwa bei nafuu au hata unapenda kuwa
mbobezi wa michanganuo kama mimi, basi kwenye hili group ndiyo suluhisho lake.
Na tena isitoshe unakuwa na uwezo (access) ya kuyapata katika channel yetu ya Telegramu masomo mengine
yote yaliyopita kwenye group, masomo zaidi ya 100
Ukitaka kuthibitisha hili kuanzia leo fuatilia vizuri
blogu yako ya jifunzeujasiriamali na utaona dondoo za masomo hayo mapya nitakazoanza kuziweka kila siku
hapo. Nirudie tena kusema, ndani ya group ni masomo kamili yenye ujazo na wala siyo dondoo mbili tatu.
Vilevile kama una mchanganuo wako wa biashara pia na
ungependa tuuandike hatua kwa hatua kwenye group, hii ni fursa ya kipekee kwako
badala ya kwenda kuandikiwa huko kwa malaki ya pesa.
Sikukuu hizi mimi ‘nazidedicate’
kwa wadau wangu wote ndio maana nimeamua kipindi chote na hata baada ya sikukuu
nitakuwa nanyi, nikiyajibu maswali yote mtakayokuwa mkiniuliza kwenye group na
hata nje ya group katika mitandao mingine ya kijamii.
Kujiunga nasi lipia ada yako sh. Elfu 10 kisha tuma
ujumbe wasap au sms usemao, “NATAKA OFFA
YA MWISHO 22+” muda huohuo nitakutumia kila kitu na kukuunganisha kwenye
group.
SIMU/WATSAP: 0712202244
au 0765553030
Peter Augustino Tarimo
Business
Plan Expert 2023
ZAWADI HIYO YA VITU 22+ NI HII IFUATAYO
1. KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI –cha kiswahili
2. KITABU: Jinsi ya kuandika mchanganuo mfupi wa biashara (One Page Business Plan) -cha kiswahili
3. KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA –cha kiswahili
4. KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ndio hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha kiingereza
5. KITABU cha mwandishi Tim Berry cha JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA, ni mwandishi nguli wa Michanganuo Duniani -cha kiingereza
6. Mchanganuo wa biashara: Kiwanda kidogo cha kutengeneza mvinyo/wine na Juisi ya Rosella -kiswahili
7. Mchanganuo wa Kikundi cha Kinamama: Biashara ya kiwanda cha kukoboa mpunga -kiswahili
8. Mchanganuo kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –(USADO Milling))-kiswahili
9. Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiswahili
10. Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiingereza
11. Mchanganuo Biashahara ya Ufugaji wa kuku wa mayai - kwa kiswahili
12. Mchanganuo Biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji – kwa kiswahili
13. Mchanganuo kamili wa kilimo cha matikitimaji (KIBADA WATERMELON)-kwa kiswahili
14. Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa kiswahili
15. Mchanganuo wa Biashara ya mgahawa (JANE RESTAURANT) –kwa kiingereza
16. Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili
17. Mchanganuo wa Biashara ya Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili
18. Kielezo cha mchanganuo wa biashara (template) kinachokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika Mchanganuo unaweza kuvifuatisha ukaandika -Kwa Kiswahili
19. Kielezo cha mchanganuo wa biashara(template) –kwa kiingereza
20. Somo maalumu kabisa la Mzunguko wa fedha kwenye biashara yako -kiswahili
21. KITABU CHA SEMINA: Masomo 11 ya michanganuo ya Biashara
22. Kujiunga GROUP LA WHATSAP & TELEGRAM LA MICHANGANUO-ONLINE
23. THINK & GROW RICH - SWAHILI EDITION (FIKIRI & UTAJIRIKE)
SOMA NA HIZI HAPA:
1.
Madhehebuya kikristo wasiosherekea sikukuu ya krismasi na sababu kubwa ya kutoadhimisha
2.
Heriya krismasi na mwaka mpya wenye mafanikio tele, 2019 ishi kama mbayuwayu
3.
Nyimbonzuri za krismasi zinazopendwa zaidi na siri kubwa 2 zilizojificha ndani yake
4.
2023mwaka wa ubunifu zaidi kwenye biashara kukabiliana na majanga
0 Response to "ZAWADI YA MWISHO YA VITU 22+ INAYOMALIZIKA SIKUKUU HII"
Post a Comment