DOWNLOAD / PAKUA HAPA KITABU FIKIRI UTAJIRIKE (THINK AND GROW RICH) KWA KISWAHILI, SURA ZOTE 15 BURE

KITABU CHA THINK AND GROW RICH KWA KISWAHILI (FIKIRI UTAJIRIKE)
Hatimaye tafsiri ya kile kitabu mashuhuri zaidi duniani cha elimu ya fedha na mafanikio THINK AND GROW RICH, kwa lugha  ya kiswahili, FIKIRI UTAJIRIKE kimekamilika na kinapatikana kitabu chote kizima kikiwa kimekamilika sura zote 15. Uzinduzi rasmi wa tafsiri ya kitabu hiki utafanyika hapo tarehe 1/8/2020 katika ukumbi utakaotangazwa kwa washiriki watakaopenda kushiriki uzinduzi huo.

Think & Grow Rich au Msahafu wa Mafanikio kama wengi wanavyokiita ni kitabu ambacho, hakuna kingine kinachokifikia kwa umaarufu Duniani kote, kimewafanya watu wengi watajirike, kupata umaarufu pamoja na madaraka. Kiliandikwa mwaka 1937 na  mwandishi Napoleon Hill huko Marekani  baada ya kupewa wazo hilo na mtu mwingine aliyekuwa tajiri mkuwa kwa jina Andrew Carnegie miaka  25 kabla. Kwa kifupi kitabu hiki kinazungumzia jinsi mtu anavyoweza kupata utajiri kupitia fikra (mawazo).
Napoleon Hill alitakiwa kufanya utafiti kujua kanuni inayoweza kutumika na mtu yeyote yule anayetaka kutajirika. Kanuni hiyo ndiyo  ambayo kila mtu anayepata mafanikio iwe ni katika uchumi, familia, madaraka au nyanja nyingine yeyote ile katika maisha huitumia.
Kanuni au siri hiyo ipo ndani ya kitabu hiki, na ili mtu uweze kuijua na hatimaye kuitumia ni sharti kwanza uwe na utayari wa akili, baada ya hapo kwa kusoma sura za kitabu hiki utakutana nayo. Unaweza ukakutana nayo katika sura ya kwanza, ya pili, ya mwisho au hata sura nyingine yeyote ile.
Ikiwa watu wengi Duniani wamekisoma kitabu hiki na wakathibitisha kimewasaidia kupata mafanikio makubwa, hakuna sababu ya mtu mwingine kuacha kusoma Think and Grow Rich (Fikiri Utajirike). Sababu hii ndiyo iliyonifanya nikaamua kukaa chini na kuanza kukitafsiri kitabu hiki katika lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Ili uweze kupata nakala yako kwa Kiswahili ujisomee mwenyewe kwenye simu au kompyuta yako kabla ya siku rasmi ya uzinduzi tarehe 1 August 2020 ni bure lakini utatakiwa tu kulipia kitabu chetu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI sh. Elfu 10. 
Kwa yeyote yule atakayejipatia offa hii kabla ya siku ya tarehe 6 /7/2020 siku ya Jumatatu, wiki moja tu tokea siku ya leo, atapata bahati ya OFFA NYINGINE KUBWA ZAIDI YA VITABU NA VITU MBALIMBALI VIFUATAVYO;

1.  KITABU: Tafsiri nzima ya Think & Grow Rich(Fikiri Utajirike)  Ndio kitabu mashuhuri zaidi cha fedha na mafanikio kuwahi kuandikwa duniani –cha  Kiswahili & cha kiingereza

2.  KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI -kwa kiswahili

3.  KITABU: Mifereji 7 ya pesa na siri matajiri wasiyopenda kuitoa-kwa kiswahili

4.  KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.-kwa kiingereza

5.  KITABU: Masomo ya fedha yaliyofundishwa watsap Part 1

6.  KITABU: Masomo ya fedha yaliyofundishwa watsap Part 2

7.  KITABU: Michanganuo hatua kwa hatua, watsap,     part 3

8.  Semina ya siku 7 na mpango kamili wa biashara ya usagishaji nafaka - unga wa dona(USADO Milling) )-kwa kiswahili

9.  Kifurushi cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS) kuku wa mayai, kuku wa nyama na kuku wa kienyeji-zote kwa kiswahili

10.                 Mchanganuo kamili wa kilimo cha Matikiti maji(KIBADA WATERMELON BUSINESS PLAN) -kwa kiswahili

11.                 Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) -kwa Kiswahili & kiingereza

12.                 Mchanganuo kamili wa Biashara: Kiwanda cha tofali za sementi(KILUVYA Bricks) -kwa Kiswahili

13.                 Mchanganuo kamili wa Biashara ya Chipsi(AMANI CHIPS CENTRE) -kwa Kiswahili

14.                 Somo maalumu la Mzunguko chanya wa fedha kwako binafsi na kwa biashara yako-kwa kiswahili

15.                 Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. kwa Kiswahili & kiingereza

16.                 Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

17.                 Ukurasa mmoja wa mchanganuo(One page Business plan).(Njia fupi zaidi ya kuandika mchanganuo wa biashara yako kwa nusu saa tu, na mfano)

18.                 Mchanganuo mfupi wa biashara ya Steshenari (One page Business plan) (NEEMA STESHENARY) -kwa Kiswahili

19.                 Vipengele / (Outlines) vya Mpango wowote ule wa Biashara kwa kiswahili na kwa kiingereza. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika businee plan unaweza kuvifuatisha ukaandika.


20.                 Kuungwa group la Michanganuo la mentorship mwaka mzima(michanganuo-online) unaweza kuuliza swali lolote lile muda wowote kuhusu michanganuo na ujasiramali kwa ujumla

Hii ndio OFFA yangu kubwa zaidi kutoa na haijawahi kutokea, na pengine haitatokea tena. Kupata vitu vyote hivi 20 kwa gharama ya sh. Elfu 10 tu ni karibu kabisa na kuvipata bure. Lengo langu la kutoa offa hii siyo kupata faida ya fedha bali ni kupata washiriki wachache makini waliotayari kujiunga na mimi siku ya Uzinduzi rasmi wa tafsiri ya Think and Grow Rich ifikapo 1/8/2020.
Washiriki hao watapata fursa ya kuwa watu wa kwanza kabisa kukisoma kitabu hicho lakini pia mwaliko wa Uzinduzi. Si lazima mtu ahudhurie uzinduzi huo, ni hiyari ya mtu, unaweza ukajipatia Fikiri Utajirike chako pamoja na OFFA lakini usihudhurie hamna mtu atakayekuuliza.
Kupata OFFA yako ya vitu 20 kikiwemo kitabu cha Think & Grow Rich Kwa lugha ya Kiwsahili, lipia sasa hivi sh. 10,000/= tu kwa kutumia namba zangu, 0765553030 au 0712202244 jina ni PETER AUGUSTINO TARIMO na nitakutumia papo hapo kila kitu kwenye Simu au Compyuta yako kwa Email huku ukisubiri sherehe ya uzinduzi kama utakuwa na nafasi siku hiyo ya tarehe 1/8/2020
Kumbuka tunahitaji watu wachache siku ya Uzinduzi ndiyo maana tumefupisha sana muda wa hii OFFA, na ni kutokana na gharama kubwa za maandalizi ya shughuli hiyo, wahi offa hii kwani wiki moja ni muda mfupi.
KAMA UNAPENDA KUONJA KIDOGO LADHA YA SURA YA KWANZA YA FIKIRI UTAJIRIKE (THINK &GROW RICH KWA KISWAHILI)  NA YALE YALIYOMO NDANI YAKE BONYEZA HICHO KIUNGO UTAKIPAKUA MARA MOJA USOME.

0 Response to "DOWNLOAD / PAKUA HAPA KITABU FIKIRI UTAJIRIKE (THINK AND GROW RICH) KWA KISWAHILI, SURA ZOTE 15 BURE"

Post a Comment