BIASHARA YA DUKA DOWLOAD KITABU PDF KURASA ZA MWANZO | JIFUNZE UJASIRIAMALI

BIASHARA YA DUKA DOWLOAD KITABU PDF KURASA ZA MWANZO

KURASA ZA MWANZO ZA KITABU CHA DUKA LA REJAREJA

KUDOWNLOAD FREE KURASA CHACHE ZA KITABU CHA DUKA LA REJAREJA BONYEZA JALADA HAPO JUU

Unahitaji muongozo kamili wa jinsi ya kufanya biashara ya duka la rejareja maarufu kama duka la vyakula mtaani? Kitabu cha MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA ndiyo suluhisho lake. Kitabu hiki mwandishi wake ni mtu aliye na uzoefu mkubwa kwenye sekta hii na amefanya biashara ya duka kwa takribani miaka 12.

Utaambiwa, “Oo..biashara ya duka haina faida”, ni uwongo! Mbona kila siku watu wanafungua maduka? Wengine wanajengea maduka hayohayo na hata kununua magari?.

Gundua siri zilizojificha nyuma ya biashara hii ndani ya Kitabu hiki,.

Uzuri wa biashara ya Duka la rejareja;

·       Ndiyo biashara rahisi zaidi kuanzisha

·       Ndiyo biashara inayofanywa na watu wengi zaidi Dar

·       Unaweza kuanza na mtaji wowote

·       Haihitaji Usajili wa gharama kubwa

·       Ina wateja wanaojirudia mara kwa mara

·       Husumbuki kufuata bidhaa mbali

·       Bidhaa za duka ni mahitaji ya kila siku ya watu hivyo ni lazima uuze

·       Faida unaanza kuiona siku ya kwanza tu unapofungua.

Baadhiya yale yaliyokuwemo ndani ya kitabu ni haya hapa;

·       Makosa yanayoweza kuua duka lako hata kabla ya miezi 6 kuisha

·       Mbinu za kumfanya mteja arudi tena na tena 

·       Vikwazo vikubwa 4 vinavyozuia watu kuanzisha maduka

·       Mifumo 3 madhubuti ya kuzuia udokozi na hujuma kutoka kwa wasaidizi wako

·       Mbinu za kutambua kama kila siku unapata faida au hasara bila

·       kusubiri mwezi uishe au wiki

·       Mbinu za kufufua duka lililozorota

·       Vitu vya kuangalia unapotaka kumuajiri mfanyakazi

·       Mbinu za kushindana na maduka makubwa yaliyokuzunguka hata kama la kwako ni dogo kiasi gani

·       Njia bora za kukabiliana na wateja wakorofi

·      Mbinu za kuthibiti chumaulete

·      Mpangilio wa duka unaovutia wateja na kukurahisishia kuuza

·      Kauli na vipeperushi vitakavyofukuza wateja na kudhani umelogwa

·      Jinsi ya kuweka kumbukumbu na mahesabu ya duka lako kila siku

·      Jinsi ya kujua Faida na Hasara kwenye duka la rejareja

·      Jinsi ya kupiga stoku ya duka lako

·      Kanuni 3 rahisi za kubaini hujuma au upotevu wa mali/Fedha dukani kwako

·      Mfumo wa mahesabu utakaokuwezesha kusimamia maduka hata zaidi ya 6 kwa wakati mmoja pasipo kuibiwa senti tano na wasaidizi

·      Siri wenye maduka makubwa hawatakuambia kamwe hata uwape pesa.

·      Mchanganuo mzima wa biashara ya duka la rejareja

Bei ya kitabu na namna ya kukipata; 

1.Kitabu cha karatasi(HARDCOPY) ,Ukiwa Dar es salaam unaletewa mpaka pale ulipo kwa shilingi Elfu 16.(16,000/= tu)

2.Kwa njia ya EMAIL(SOFTCOPY) Tunakutumia kitabu popote pale ulipo kwa bei ya shilingi elfu 6, (6,000/= tu). Lipia kupitia namba zilizopo hapo chini kisha tuma anuani yako ya e-mail na utatumiwa kitabu bila kuchelewa.


SIMU: 0712202244 AU 0765553030



JINA: Peter Augustino Tarimo.


WATSAP: 0765553030

ASANTE 



0 Response to "BIASHARA YA DUKA DOWLOAD KITABU PDF KURASA ZA MWANZO"

Post a Comment