WAKATI MADENI KWAKO NI NUKSI, MATAJIRI NA WALIOFANIKIWA MAISHA HUYACHUKULIAJE?

Karibu kila mtu wa kawaida utakayekutana naye, mkizungumzia kuhusiana na madeni utamsikia akilalamika juu ya ubaya wa madeni au mikopo inayokuwa mara nyingi ikihusishwa na kufilisiwa, umasikini na hata mikosi. Lakini kuna ukweli wowote kwamba deni ni adui mkubwa kiasi hicho?

Ungana na mimi leo katika darasa letu la semina za Michanganuo ya biashara na Jinsi ya kuboresha mzunguko wa fedha katika biashara zetu, nitafundisha somo hili kupitia njia ya Whatsapp, email na Blogu yetu ya Private ya Michanganuo. Masomo ni kila siku saa 3 mpaka saa 4 usiku. Unapewa offa ya vitabu, kifurushi cha michanganuo maarufu mitatu ya kuku, masomo yote ya zamani yaliyokwishapita, templates na vingine vingi. Ada ni  shilingi elfu 10 tu.

0 Response to "WAKATI MADENI KWAKO NI NUKSI, MATAJIRI NA WALIOFANIKIWA MAISHA HUYACHUKULIAJE?"

Post a Comment