RASILIMALI (2) ADIMU ZAIDI DUNIANI KULIKO DHAHABU & ALMASI NA NJIA YA KUZIPATA


DHAHABU NA FEDHA
Kuna watu rasilimali adimu zaidi kwao ni Ardhi na majumba, wengine fedha na magari na hata kuna wanaoona dhahabu na almasi ndiyo rasilimali adimu zaidi hapa duniani. Lakini wote hawa wanashindwa kuutambua ukweli wa mambo ulivyo, na laiti wangeliufahamu ukweli huo basi vitu vyote hivi wanavyodhani kuwa ni adimu kwao kupindukia basi wangeliviona ni vitu vya kawaida sana.

………………………..…

Katika somo la siku ya leo tarehe 2/5/2020 katika magroup ya MICHANGANUO-ONLINE pamoja na Channel yetu ya Telegramu, nitakwenda kufundisha somo hili ifikapo saa 3 mpaka saa 4 usiku. Usikose!

Kiingilio katika masomo haya ya kila siku yahusuyo FEDHA ni shilingi elfu 10 na ada hii ni ya mwaka wote wa 2020 hutalipa tena kwa miezi yote iliyobakia. Pia unapata fursa ya kujifunza masomo yote yaliyopita kwenye group na channel yetu pamoja na OFFA ya vitabu mbalimbali na Michanganuo kamili ya biashara zinazolipa.

Malipo ni kwa namba, 0765553030  au 0712202244. Jina ni PETER Augustino Tarimo.

Baada ya malipo, nitumie ujumbe usemao; “NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUO-ONLINE PAMOJA NA OFFFA YA VITU 6”

Nitakuunganisha muda huohuo pamoja na kukutumia kila kitu.


KWA VITABU NA MICHANGANUO YA BIASHARA MBALIMBALI TEMBELEA DUKA LETU LA VITABU MTANDAONI HAPA

0 Response to "RASILIMALI (2) ADIMU ZAIDI DUNIANI KULIKO DHAHABU & ALMASI NA NJIA YA KUZIPATA"

Post a Comment