6.0
UONGOZI NA WAFANYAKAZI.
Watu ndiyo wanaosababisha kampuni au biashara
iweze kufanya kazi au kutokufanya kazi. Bila watu watakaofanya kazi hakuna
biashara hata ikiwa kampuni ina mtaji mkubwa na rasilimali nyingine kiasi gani.
Katika sehemu hii ndipo unapotakiwa ueleze mfumo wa utawala au uongozi wa
kampuni yako, wahusika wakuu wanaosimamia shughuli za kila siku pamoja wafanyakazi
wengine na wasifu wao.
Sura hii huanza kama ilivyokuwa sura nyingine
kwa muhtasari ambao utatakiwa uandike yale mambo muhimu kama vile waanzilishi,
biashara itaajiri watu wangapi akiwemo meneja/mameneja pamoja na mapungufu ya
wafanyakazi kama yapo na huandikwa baada ya kumaliza sura yote kwanza
Kwenye sehemu hii ya Uongozi na wafanyakazi,
huwa kunakuwa na vipengele vidogo vifuatavyo;
1. Waanzilishi
wa biashara
2. Mfumo
wa utawala
3. Chati
ya utawala
4. Mpango
wa malipo.
…………………………………………………………….
Ikiwa
utapenda kupata somo hili lote kikamilifu pamoja na masomo mengine yote katika
mfululizo wa nasomo haya ya semina ya michanganuo ya biashara, lipa ada ya
kiingilio ambayo ni Tsh. 10,000/= pamoja na kutuma anuani yako ya e-mail(Gmail)
kwenye namba za simu 0712202244 au
0765 553030 jina ni Peter Augustino
Tarimo. Utapewa kitabu cha michanganuo(softcopy) bure na kupewa link ya bloguhii ya michanganuo ili uweze kupakua masomo ya sauti na PDF. Baada ya masomo
hayo utaweza kuandaa mpango wowote ule wa biashara utakayotaka na kupewa
usaidizi wa karibu kabisa na mkufunzi wa semina.
Tunahakikisha
mpaka umeelewa ndipo semina inamalizika, hakutakuwa na muda maalumu wa kuisha
kwa semina. Masomo yatakapomalizika tutaendelea kutoa masomo ya ziada ambayo
yatasaidia pale ambapo washiriki hawajaelewa vyema.
Tazama
RATIBA KAMILI YA MASOMO ya darasa la semina hapa
Kwa
hudumazetu nyinginezo unaweza kutembelea ukurasa huu wa HUDUMA ZETU
Kupata
vitabu vya Ujasiriamali, Biashara na Maendeleo binafsi fungua, SMART BOOKS TANZANIA.
0 Response to "SOMO LA 9 SEMINA YA MICHANGANUO: UONGOZI NA WAFANYAKAZI"
Post a Comment