KWANINI WAFANYABIASHARA WENGI HASA MADUKA YA REJAREJA HULALAMIKIA CHUMA ULETE? | Jifunzeujasiriamali

KWANINI WAFANYABIASHARA WENGI HASA MADUKA YA REJAREJA HULALAMIKIA CHUMA ULETE?

Muuza duka akiwa dukani anauza

Karibu kila mfanyabiashara wa duka la rejareja Tanzania huogopa kitu hiki na ni wachache mno utakuta wanakipuuzia, awe amesoma mpaka chuo kikuu au hata yule aliyeishia tu la saba

Siyo wenye biashara tu peke yao, hata na wateja nao pia jambo hili linawasumbua sana, utakuta mtu anakwenda dukani kunuua kitu lakini anaogopa kabisa kumpa muuzaji pesa kwa mkono, anahakikisha ameiweka juu ya meza muuzaji achukue mwenewe kisa eti mwenye duka anaweza akachukua pesa zake nyingine mfukoni au alizoacha nyumbani kimuujiza

Muuza duka naye kila mteja anayekuja anamchukulia tofauti na mwingine, kuna wateja kutokana tu na muonekano wake aidha ni wazee au hajavaa smati basi pesa yake haichanganyi kabisa na pesa nyingine za mauzo kwenye droo, ataiweka pembeni kabisa na sijui baadae huifanya nini

Je, kwa kufanya vitendo kama hivi ni kweli kunasaidia biashara kukua, au mteja ni kweli pesa zake nyingine mfukoni na nyumbani zinakuwa salama zaidi?

Hili tatizo kwenye kitabu cha Mafanikio ya Biashara Duka la rejareja New Tech Edition 2027 limezungumziwa kwa kina sana kuanzia ukurasa wa 79 – 85, jinsi chumaulete inavyofanya kazi na njia bora za kuzuia kabisa chuma ulete dukani kwako


............................................


Kupata kitabu hiki pamoja na Course ya jinsi ya kutumia mfumo wa mauzo wa bure, FOREVER FREE POS & CRM nitumie ujumbe whatsapp 0761002125 usemao “NAHITAJI KITABU NA COURSE”

 

 

 


SOMA NA HIZI PIA:

                 1.       Chuma ulete anavyowatesa wenye maduka na wafanyakazi wao dar

                 2.       Siri ya kupata mtaji wa biashara kirahisi kwa mjasiriamali mdogo asiye na dhamana mjini na kijijini

                 3.       Duka linalojiuza lenyewe bila mhudumu/muuzaji

                 4.       Eti ni kweli biashara ya genge la matunda na mbogamboga ina faida nusu kwa nusu?

                 5.       Duka la rejareja ukitumia silaha (nyenzo) hizi 2 umetoboa kwa urahisi sana1.Biashara ndogo ya mtaji wa 80,000/= niuze nini kupata faida ya haraka?


0 Response to "KWANINI WAFANYABIASHARA WENGI HASA MADUKA YA REJAREJA HULALAMIKIA CHUMA ULETE?"

Post a Comment