Baada ya kuchambua Mifumo yote Duniani ya usimamizi wa
duka la rejareja Kianalojia & Kidijitali katika kitabu hiki cha Siri ya Mafanikio ya Biashara ya Duka la
Rejareja New Tech Edition2026, hatimae niliona si busara kuacha mfumo huu wa
asili / mfumo wa kijadi / kitamaduni ulioasisiwa hapahapa kwetu Tanzania
Kuna wengine wanaweza kuuita “mfumo unaotumia nguvu za giza” lakini mimi nakataa kwani hamna
ushahidi wa wazi. Ijapokuwa wenyewe
wahusika ukiwauliza wanakujibu ni Nguvu
za Kimungu hutumika, utafiti nilioufanya kwa muda mrefu umebaini vinginevyo
kabisa (No research, No right to speak)
nimeeleza nilichogundua baada ya utafiti wa kina wa kisayansi
Habari hizi za kustaajabisha
kuhusiana na Biashara hasa Maduka ya rejareja na Magenge yanayojiuza yenyewe
pasipo kuwa na muuzaji/mhudumu “zimetrend”
zaidi huko Kanda ya Nyanda za juu Kusini mikoa ya Iringa, Njombe na Makambako
Mmiliki wa duka au genge
hufungua biashara yake asubuhi na mapema kama kawaida kisha akishapanga bidhaa
na kufanya usafi huondoka kuelekea kwenye mihangaiko yake mingine huku nyuma
akiacha duka /genge wazi na wateja wakifika hujihudumia wenyewe na hata pesa
kuna bango dogo juu ya Birika kubwa lililoandikwa, “UKISHACHAGUA BIDHAA TIA
HELA HUMU KWENYE BIRIKA”
Kuna maduka mengine mmiliki
hajawahi kabisa kuweka mlango au grili, na inapofika jioni huweka tu pazia
jepesi mlangoni mtu analoweza kuingia kwa urahisi na huondoka kwenda kulala
nyumbani kwake pasipo mwizi yeyote kuja usiku kumuibia. Haya ni matukio ya
kweli siyo hadidhi za kutunga
Je watu hawa hutumia nguvu
gani kulinda stoku ya bidhaa zao na fedha kwenye haya maduka?, hawatumii
daftari la mauzo, POS wala Accounting Software yeyote kama nilizoeleza kwenye
kitabu hiki lakini maduka yao yana “operate”
kama kawaida
Nimechambua na kueleza A-Z
kilichojificha nyuma ya pazia la Mfumo huu wa ajabu wa kijadi wa usimamizi wa
duka au genge katika Sura ya 6 ukurasa wa 233, Toleo jipya la Kiteknolojia la
kitabu “SIRI YA MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA NEW TECH EDITIO 2026”
Bei ya kitabu ni sh.
15,000/= lakini kuna OFFA ya Sh. 10,000/= kwa watu wachache wa mwanzo
Kukipata lipia 10,000/= kwa namba 0761002125 jina Peter Augustino
Tarimo, kisha nitumie ujumbe na nitakutumia link ya kitabu na Coupon yako ya punguzo muda huohuo ukipakue
Ikiwa hujaamua kununua sasa hivi, bado pia kuna zawadi ya kitabu kingine cha bure (HATUA 10 ZA KUANZISHA DUKA LA REJAREJA) unaweza kukipata ndani ya Group la Wafanyabiashara za Rejareja Tanzania (TRG) kwa link hii hapa chini, ukiingia tu hivi unakutana na kitabu
https://chat.whatsapp.com/HNuS5F506Hp5Kt6f0CLLVd?s=cl&p=a&mlu=3

0 Response to "DUKA LINALOJIUZA LENYEWE BILA MHUDUMU/MUUZAJI"
Post a Comment