Ndani ya Programu yetu ya MAKE YOUR SELF GREAT AGAIN wiki iliyomalizika jana tulikuwa na zoezi zito la kuanzisha Usomaji wa kitabu Maarufu cha Think & Grow Rich.
Namshukuru Mungu zoezi limeenda vizuri na mpaka kufikia
leo hii tumeshamaliza kusoma sura ya pili japo tunakwenda kwa mwendo wa
kinyonga kidogo kwa lengo hasa la kutokuwaacha nyuma wenzetu wenye kasi ndogo
ya usomaji.
Programu yetu tulisema itakuwa na vitu vingi ndani yake
lakini kubwa zaidi ikiwa ni Mafunzo ya kina juu ya uandaaji wa Michanganuo ya
biashara (Business planning).
Kwanini business planning? Ni kwa sababu mpango wa
biashara ni kila kitu, ndani yake utakutana na vipengele vingine vyote
vinavyounda biashara mfano masoko, mauzo, usimamizi, uongozi, fedha na kila
kitu kingine kinachofanya biashara iitwe biashara.Tunaua ndege wote kwa jiwe
moja tu!
Hivyo kuanzia Jumatatu ya tarehe 4/7/2025 tutaendelea na
zoezi la mafunzo ya uandishi wa Michanganuo ya biashara hatua kwa hatua kwa
vitendo na sasa badala ya kuwa na mchanganuo wa biashara moja tu wa kufundishia
tutakuwa nayo mitatu (3). Hii inamaanisha kwamba tutakuwa na madarasa matatu
tofauti yakiendelea kwa wakati mmoja
Unapojiunga sasa unakuwa na fursa ya kuchagua ni
mchanganuo wa biashara ipi kati ya hii 3 ifuatayo utapenda kutumia kujifunzia;
1. Kuku
wa kisasa wa nyama
2. Mgahawa
wa chakula
3. Shule
ya Chekechea
Mara ujiungapo tu hivi unapewa mchanganuo wako kamili
wenye kila kitu katika lugha zote 2, kiswahili na kiingereza ikiwa katika
format 2 pia za PDF na Word document kwa ajili ya urahisi wa kwenda
kuedit/kuhariri ikiwa utataka kuubadilisha uendane na biashara yako kwa
matumizi mbalimbali kama vile kuombea mkopo mahali au tu kwa ajili ya
kurahisisha uendeshaji wa biashara yako.
Mchanganuo wa kujifunzia kwa Kiswahili na Kiingereza
hauhusiani na ile michanganuo ya offa 7 pamoja na vitabu 5 jumla vitu 12 mtu
anavyopewa pia punde anapojiunga. Unapata vyote, offa ya vitu 12 na mchanganuo
wako wa kujifunzia kama kawaida labda tu pale OFFA itakapomalizika muda wake.
Mafunzo haya ya semina yataendeshwa kwa mfumo wa maandishi/text
watsap, voice notes, videos na PDF ya somo zima mwishoni mwa semina
Mwisho wa kujiunga na madarasa kwa wiki hii ni Alhamisi,
watakaojiunga Jumanne, Jumatano na Alhamisi watajifunza mafunzo yaliyotangulia
kwa muda maalumu ili waweze kulingana na wenzao waliowahi. Kujiunga zaidi ya Alhamisi
itabidi mtu asubiri madarasa ya wiki zinazofuata.
JINSI
YA KUJIUNGA NA KIINGILIO
Ada ya mwaka ni Tsh. 20,000/= lakini ukiwahi kabla ya
offa kuisha unalipia Tsh. 10,000/=
tu
Chagua darasa pale juu ulipie sh. 10,000/= uje
nikuunganishe chap, pamoja na kukutumia offa yako ya vitu 12 kama uonavyo hapo
chini;
NB:
Kwenye hii offa unaweza kuamua kubadilishiwa michanganuo, tazama orodha ya
michanganuo mingine 20 niliyoweka kule chini mwishoni kabisa. Kubadilisha ni
kabla ya kutumiwa, ukishatumiwa offa zako hamna tena fursa ya kubadilisha
michanganuo.
Namba
ya kulipia ni: 0761002125 Peter
Augustino Tarimo
Baada ya malipo tuma ujumbe watsap /sms au piga 0765553030 / 07761002126 ukisema, “NATAKA
OFFA NA KUUNGWA GROUP LA MAFUNZO 2025”
Utaungwa muda huohuo na kutumiwa kila kitu tulichoahidi.
VITU
12 VYA OFFA, VITABU & MICHANGANUO YA BIASHARA
1.
KITABU:
Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali
2.
KITABU:
Mifereji 7 ya pesa na Siri matajiri wasiyopenda kuitoa
3.
KITABU:
Siri ya kujifunza Elimu ya Pesa na Mafanikio toleo jipya 2025
4.
KITABU: Jinsi
ya kuandika mchanganuo mfupi wa biashara yako dk. 30 Tu (Lean Business plan)
5.
KITABU:
How to Write a Business Plan – Kilichoandikwa na nguli wa michanganuo na
hutumiwa na vyuo vikuu vingi duniani
6.
MCHANGANUO: Kiwanda
cha usagishaji unga wa Dona (Usado
milling)
7.
MCHANGANUO: Saluni
ya kike (Rose Hair & Beauty salon)
8.
MCHANGANUO: Biashara
ya kuuza chipsi (Amani chips centre)
9.
MCHANGANUO: Kiwanda
cha tofali za saruji (Kiluvya bricks)
10. MCHANGANUO: Kuku
wa kisasa wa mayai (Mayai bora project)
11. MCHANGANUO: Events
Planning in Dar es salaam (Margareta
Events in Dar Bplan)
12. MCHANGANUO: Uongezaji
thamani mashamba ya zabibu Dodoma
(Makupila Real Estate Agency)
MICHANGANUO 20 YA KUCHAGUA KAMA ILIYOPENDEKEZWA
HAPO JUU 7 HUJAIPENDA
(1)
Genge la Matunda na Mboga (Double M Fresh)
(2)
Duka la Rejareja (Msuya shopping centre)
(3)
Duka la Jumla (MCD Provision Store)
(4)
Saluni ya Kiume (Boys 2 Men Barber shop)
(5)
Keki na Vitafunwa (Mam Bites)
(6)
Kampuni ya Ulinzi (Nyuki security services)
(7)
Sabuni za vipande (Takatisha soap & Detergents)
(8)
Cafe ndogo ya chakula (Jane fast food)
(9)
Steshenari (Neema stationery)
(10)
Uuzaji wa matunda kwa ubunifu (Matunda bora)
(11)
Mama lishe (Upendo cafe)
(12)
Kilimo cha Matikiti maji (Kibada watermelon)
(13)
Kiwanda cha mvinyo na juisi ya Rosella (Choya investment co. Ltd)
(14)
Ufugaji wa nguruwe
(15)
Uuzani wa gesi za kupikia majumbani
(16)
Kiwanda cha kukoboa mpunga
(17)
Kuku wa kienyeji ( Mayai asili project)
(18)
Kuku Chotara (Kuroiler)
(19)
Ushonaji nguo na kudarizi (Umoja wa mafundi cherehani)
(20)
Utengenezaji Batiki, Masweta, Pochi na Mikoba
(Kikundi cha Ushirika)
Muandaaji:
Peter A. Tarimo
Mtaalamu wa Michanganuo ya
Biashara
Whatsapp/Call:
0765553030 au 0761002125
HUDUMA ZETU NYINGINE MBALIMBALI ZA MALIPO
(VITABU & MICHANGANUO YA BIASHARA)
1. Kuandikiwa Mchanganuo wa Biashara yako
Tunaandika Mpango kamili wa biashara yeyote ile kwa Kampuni na wafanyabiashara binafsi kwa gharama rafiki, njoo tuzungumze kupitia namba za simu au wasap 0765553030 / 0761002125 Michanganuo yetu tunaandaa kulingana na maono ya mteja kama yalivyo pamoja na mazingira ya soko linalomzunguka
2. Kitabu cha MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA
Kitabu hiki kilichowasaidia wajasiriamali wengi wadogo na wale wa kati kinatatua changamoto mbalimballi za biashara za rejareja kubwa ikiwa ni usimamizi wa mapato yasipotee au kudokolewa kiholela na wasaidizi wako, ni uzoefu wa miaka 12 wa mwandishi mwenyewe kwenye hii biashara.
Kukipata unaweza kulipia Tsh. 10,000/ kupitia namba 0761002125 jina peter Augustino Tarimo, kisha nitakutumia kitabu chako kwenye simu au kompyuta mara moja. Au pia unaweza ukatembelea duka letu la mtandaoni kukinunua hapo kwa kiungo hiki>>MAFANIKIO YA BIASHARA DUKA LA REJAREJA
3. Kitabu cha THINK & GROW RICH –SWAHILI EDITION (FIKIRI & UTAJIRIKE)
Kitabu hiki kilichosomwa duniani na zaidi ya watu milioni 100 tunayo nakala ya Kiswahili kwa bei zifuatazo;
Nakala ngumu hardcopy ukiwa Dar es salaam ni Tsh. 25,000/= – Tunakuletea mpaka pale ulipo, ukishapokea kitabu ndipo unalipa pesa
Ukiwa mikoa mingine Tanzania tunatuma kitabu kwa njia ya Mabasi kwa gharama jumla Tsh. 35,000/= kitabu na usafiri
Nakala laini Softcopy; Ukiwa popote pale Duniani unaweza kukipata kwenye mtandao wa GETVALUE kupitia kiungo hicho kibofye kuingia ununue sasa hivi na kukidownload.
4. Vitabu zaidi &Michanganuo mbalimbali ya biashara
Kwa vitabu zaidi na Michanganuo mbalimbali ya biashara iliyo tayari tembelea duka letu hili la mtandaoni uweze kuona na kujinunulia kwa urahisi kabisa>>SELF HELP TANZANIA ONLINE BOOSHOP
0 Response to "SEMINA NA MAFUNZO: JINSI YA KUANDIKA MICHANGANUO YA BIASHARA KIVITENDO YAANZA TENA WIKI HII KWA KISHINDO!"
Post a Comment