Leo tarehe 29/07/2025 ndio siku tunaanza rasmi usomaji wa kitabu cha Think & Grow Rich (Fikiri & Utajirike)
TARATIBU
08 ZA USOMAJI
(1) Tunatumia
nakala zote 2, ya kiingereza na ya Kiswahili katika usomaji kwani lengo letu ni
kuuelewa ujumbe wa kitabu na si lugha
(2) Tutakuwa
tukisoma kama group ili kuhimizana kwa lengo la kujenga moyo wa uwajibikaji
(3) Kila
siku tunaweka lengo la kusoma kurasa 10 za kitabu (katika nakala ya kiingereza)
na washiriki kutoa mrejesho kila jioni. Kwa nakala ya Kiswahili kurasa hizi huzidi
10
(4) Siku
za kusoma ni 5 katika juma, siku za weekend na siku kuu hatutakuwa na session
za usomaji isipokuwa mtu mmoja mmoja anaweza akajisomea kutimiza kiporo
alichobakiza kama hakuweza kwenda na ratiba
(5) Kila
mwisho wa Sura ya kitabu kila mshiriki atapaswa kuandaa ripoti ya mafunzo
muhimu aliyoyapata kutoka kwenye sura hiyo na kuwasilisha kwa wenzake
(6) Nakala
ya kiingereza ina jumla ya kurasa 235 hivyo itatuchukua takriban siku 24
kumaliza usomaji wa kitabu hiki. Kwa upande wa nakala ya kiswahili kina kurasa
zenye maandishi 415 hivyo ukigawa kwa 10 utaona kila siku ni wastani wa kurasa
42 karibu mara 2 ya nakala ya kiingereza
(7) Orodha
ya baadhi ya maneno magumu (Misamiati) na maana zake itatolewa kila siku
asubuhi na mshiriki yeyote anaweza kuuliza ufafanuzi wa neno jingine au mstari
unaomtatiza muda wowote toka kwa wenzake na kupewa majibu, hii itarahisisha
sana usomaji na kwenda kwa kasi
(8) Ratiba ya kurasa zitakazosomwa hutolewa kila wiki au mara kwa mara ili washiriki waweze kujua wanapaswa kusoma nini huku tukihimizana kwenda na ratiba
Usomaji wa kitabu hiki ni moja ya progranu zetu za 2025
MAKE YOURSELF GREAT AGAIN na unafanyika ndani ya magroup yetu ya MAKE YOURSELF
GREAT AGAIN. Unaweza kujiunga group la MAPOKEZI HAPA
NB:
Usomaji wa kitabu cha Think and Grow Rich haukuwa kwenye hii programu na
kujumuishwa kwake hapa ni OFFA ya muda mfupi hivyo baada ya muda hautakuwepo
Programu ya 2025
MAKE YOURSELF GREAT AGAIN lengo lake kuu ni kumfanya mshiriki awe na uwezo
wa kuwa imara kiuchumi ndani ya muda mchache kupitia kufanya miradi au biashara
kwa kutumia ubunifu wa hali ya juu sana
Programu itatimiza lengo hili kwa kutumia mbinu
mbalimbali ikiwemo usomaji wa vitabu vya kimkakati, kujifunza mawazo ya
biashara za mitaji kidogo zinazolipa upesi, kujifunza jinsi ya kuweka mipango
na mikakati ya kufanikisha biashara hizo
kwa weledi na ufanisi, kujijengea tabia na nidhamu za mafanikio, kuzingatia
muda, kuhimizana umuhimu wa kujifunza ujuzi maalumu ili kuondokana na shida ya
kukosa fedha na ajira pamoja na kuhimizana umuhimu wa fikra chanya katika
juhudi za kujenga utimamu wa akili na mwili.
Tuna magroup mawili (2) kwa ajili ya progaru hii, group
la bure na group la malipo. Tofauti ya magroup haya 2 unaweza kuiona kwenye
jedwali hapo chini kwa aina ya huduma na vitu mshiriki anavyonufaika navyo;
MAKE YOURSELF GREAT AGAIN (FREE GROUP/
MAPOKEZI) |
MAKE YOURSELF GREAT AGAIN (MASTER CLASS /
VIP) |
1.
Kozi ya msingi ya jinsi ya kuandika mchanganuo wa
biashara yeyote ile yenye masomo 12
2.
PDF ya masomo hayo yote 12
3.
Kuchambua Michanganuo mifupi ya biashara zinazolipa kwa
mwezi mara 1
4.
Masomo ya mtiririko wa fedha kwenye biashara kwa mwezi
mara 2
5.
Masomo ya ujuzi wa vitu mbalimbali vinavyoweza
kumsaidia mtu kujiajiri na kupata mtaji wa kuanzishia biashara yake ndogo
6.
Kujifunza mbinu za kufanya biashara za rejareja na
jumla, ujuzi wa masoko na mauzo nje na ndani ya mtandao (Branding)
7.
Usomaji wa kitabu cha Think & Grow Rich kwa Kiswahili
na kiingereza
8.
Nakala 1 ya kitabu cha Think and Grow Rich (PDF)
9.
Mijadala mingine mbalimbali juu ya biashara na
uwekezaji
10. Matangazo ya
biashara na ujuzi wa washiriki |
1.
Kozi ya msingi ya jinsi ya kuandika mchanganuo wa
biashara yeyote ile yenye masomo 12
2.
Kozi ya uandishi wa mpango wa biashara kwa vitendo
hatua kwa hatua siku 7 pamoja na jinsi ya kufanya mahesabu ya makisio ya
ripoti tatu za fedha, ile ya faida na hasara, mtiririko wa fedha na mizania
ya biashara
3.
PDF za course zote 2
4.
Kuchambua Michanganuo mifupi ya biashara zinazolipa kwa
wiki mara 2
5.
Masomo ya mtiririko wa fedha kwenye biashara kwa wiki
mara moja
6.
Masomo ya ujuzi wa vitu mbalimbali vinavyoweza
kumsaidia mtu kujiajiri na kupata mtaji wa kuanzishia biashara yake ndogo
7.
Kujifunza mbinu za biashara za rejareja na jumla, ujuzi
wa masoko na mauzo nje na ndani ya mtandao (Branding)
8.
Unapewa Vitabu vya rejea vifuatavyo; (1) MICHANGANUO YA
BIASHARA NA UJASIRIAMALI, (2)JINSI YA KUANDIKA MCHANGANUO MFUPI WA BIASHARA,
(3) MIFEREJI 7 YA PESA (4) KANUNI YA KUJIFUNZA ELIMU YA FEDHA NA MAFANIKIO
(5) HOW TO WRITE BUSINESS PLAN cha mwandishi nguli wa michanganuo duniani
9.
Unapewa Michanganuo kamili 7 ya biashara
iliyokwishaandikwa tayari, hii unachagua mwenyewe kati ya michanganuo mingi
utakayopewa hapo chini mwisho.
10. Usomaji wa kitabu
cha Think & Grow Rich kwa Kiswahili na kiingereza
11. Nakala 1 ya kitabu
cha Think & Grow Rich (PDF)
12. Misamiati na maneno
magumu ndani ya kitabu cha Think and Grow Rich na ufafanuzi wake kila sura
13. Ripoti za usomaji
wa kitabu cha Think & Grow Rich kwa washiriki kila baada ya sura kuisha
14. Early Morning Motivation (Maneno ya kuamsha hamasa
alfajiri kutoka sura ya kitabu tunayosoma siku hiyo) ni kila siku saa 11 alfajiri
15. Kufanya kwa vitendo
(Kupractice) kanuni mbalimbali
ndani ya kitabu cha Think & Grow Rich mfano, Mikutano na washauri
wasioonekana, kujenga tabia, kujishauri binafsi (Autosuggestion) na kuunda Ushirika (Master mind group)
16. Mijadala mingineyo
mbalimbali juu ya biashara na uwekezaji
17. Matangazo ya
biashara na ujuzi wa washiriki kila siku ya |
UTARATIBU
WA KUJIUNGA NA GROUP LA MALIPO (VIP)
Ada ya kujiunga na group hili ni shilingi 20,000/= lakini
natoa offa ya watu 10 tu wa mwanzo kulipa shilingi 10,000/=
Lipia Vitabu na Michanganuo kwa ajili ya rejea shilingi
10,000/= bei ya offa kupitia namba 0761002125
Jina ni Peter Augustino Tarimo kisha tuma meseji ya muamala kwa watsap au
sms kupitia namba 0765553030 au 0761002125 na
muda huohuo nitakuunganisha na group la VIP pamoja na kukutumia vitabu na
michanganuo yako yote jumla vitu 12
Ikiwa tayari wewe ni member wa VIP group, dai chochote
ndani ya hilo jedwali unachoona hujakipata bado
IFUATAYO
NI ORODHA YA MICHANGANUO MBALIMBALI YA BIASHARA 25 UNAYOWEZA KUCHAGUA HAPO
MICHANGANUO YAKO 7 UNAYOPENDA UTUMIWE
(1)
Genge la Matunda na Mboga (Double M Fresh)
(2)
Duka la Rejareja (Msuya shopping centre)
(3)
Chekechea / Day care (Cheichei centre)
(4)
Saluni ya kike (Rose hair & Beauty salon)
(5)
Duka la Jumla (MCD Provision Store)
(6)
Saluni ya Kiume (Boys 2 Men Barber shop)
(7)
Keki na Vitafunwa (Mam Bites)
(8)
Kampuni ya Ulinzi (Nyuki security services)
(9)
Sabuni za vipande (Takatisha soap & Detergents)
(10)
Cafe ndogo ya chakula (Jane fast food)
(11)
Steshenari (Neema stationery)
(12)
Uuzaji wa matunda kwa ubunifu (Matunda bora)
(13)
Mama lishe (Upendo cafe)
(14)
Kiwanda cha tofali za saruji ( Kiluvya bricks)
(15)
Kilimo cha Matikiti maji (Kibada watermelon)
(16)
Kiwanda cha mvinyo na juisi ya Rosella (Choya investment co. Ltd)
(17)
Kuku wa kisasa wa mayai (Mayai bora project)
(18)
Kuku wa kienyeji ( Mayai asili project)
(19)
Kuku wa nyama (Tumaini broilers)-kiswahili
(20)
Kuku wa nyama (Tumaini broilers)-kiingereza
(21)
Kuku Chotara (Kuroiler)
(22)
Kiwanda cha usagishaji unga wa Dona (Usado Milling)
(23)
Mgahawa wa chakula (Jane Restaurant) – Kiswahili
(24)
Mgahawa wa chakula (Jane Restaurant) – Kiingereza
(25)
Uongezaji thamani mashamba ya zabibu (Makupila Real Estate Agency)
Soma kifuatacho kwenye usomaji huu hapa
HUDUMA ZETU NYINGINE MBALIMBALI, VITABU & MICHANGANUO YA BIASHARA
1. KUANDIKA MICHANGANUO YA BIASHARA
Tunaandika mipango ya biashara kwa ajili ya Wajasiriamali na Makampuni inayoendana na mazingira yao halisi kwa gharama rafiki sana, tuwasiliane kwa namba 0765553030 au 0712202244. Unaweza pia kuona baadhi ya kazi za wateja wetu hapa kwa ufupi tulizowahi kufanya
2. KUANDIKA WASIFU WA BIASHARA (COMPANY PROFILE)
Tunaandika company profile zenye mvuto na za kipekee kulingana na maono ya mteja mwenyewe na gharama huanzia Tsh. 50,000/=
3. KITABU CHA FIKIRI & UTAJIRIKE (THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION)
Dar es salaa tunampelekea mteja alipo kwa gharama ya Tsh. 25,000/= na mteja hufanya malipo akishapokea kitabu. Mikoa mingine kwa mabasi ni sh. 35,000/=. Nakala laini (softcopy) kinapatikana app ya GETVALUE popote pale ulipo, bonyeza link hiyo kununua.
4. KITABU CHA MAFANIKIO BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA & GENGE TOLEO LA 2025
Nakala ngumu ni Tsh. 20,000/= Dar tunamfikishia mteja alipo, anapokea kitabu ndipo analipa na Mikoa mingine kwa mabasi ni Tsh. 30,000/= Nakala laini (softcopy) tunatuma kwenye simu au kompyuta ya mteja kwa bei ya Tsh. 10,000/= Pia unaweza kununua mtandaoni kwenye duka letu kwa bofya kiungo hiki>>>Siri ya mafanikio ya biashara ya duka la rejareja 2025 & genge ndani yake
5. VITABU ZAIDI & MICHANGANUO YA BIASHARA
Kupata vitabu vingine zaidi pamoja na Michanganuo ya biashara mbalimbali iliyokwisha andaliwa tayari tembelea Duka letu la mtandaoni kwa kiungo kifuatacho>>>; Augustinopeter bookshop
Watsap/Call/Sms: 0765553030 au 0761002125
Peter Augustino Tarimo
0 Response to "USOMAJI WA KITABU CHA THINK & GROW RICH (FIKIRI & UTAJIRIKE)"
Post a Comment