RATIBA YA USOMAJI KITABU THINK & GROW RICH WIKI YA KWANZA | Jifunzeujasiriamali

RATIBA YA USOMAJI KITABU THINK & GROW RICH WIKI YA KWANZA

KITABU: Think & Grow Rich 

MWANDISHI : Napoleon Hill

MTINDO: Sura baada ya sura

LUGHA: Kiswahili & Kiingereza

IDADI YA KURASA: Kurasa 10 kwa siku

 

Nakala ya Kiingereza

Siku ya kwanza Jumanne: 29/07/2025 – Page 1 -8

Siku ya pili Jumatano: 30/07/2025 –Page 9 – 18

Siku ya tatu Alhamisi: 31/07/2025 – Page 19 – 28

Siku ya nne Ijumaa : 01/08/2025 – Page 29 – 38

 

Kwa siku ya kwanza leo tunasoma Dibaji ya mwandishi (Author’s Preface), ukipenda na Dibaji ya Mfasiri kwa wale walio na cha Kiswahili lakini pia unaweza ukasoma na kurasa zinazotangulia mfano Jalada la nje Yaliyomo na hata Shukrani

Kwa nakala ya kiingereza kurasa zote hizi zinafika 8 na kwa ile ya Kiswahili ni kurasa kama 21 hivi zenye maandishi

Kwa siku ya leo hii inatosha na kesho tutaweza kuanza Sura ya kwanza kwa kusoma kurasa 10 za kiingereza ambazo ni sawasawa na kurasa 21 katika nakala ya Kiswahili kwani sura ya kwanza inaanza ukurasa wa 17 na pale pointi maandishi ya kiingereza yanapofikia kurasa 10, hiki cha kiswahili ni ukurasa wa 37 hivyo ukifanya mahesabu unapata ni hizo kurasa 21


Soma kilichopita kwenye usomaji huu

Soma kifuatacho kwenye usomaji huu


0 Response to "RATIBA YA USOMAJI KITABU THINK & GROW RICH WIKI YA KWANZA "

Post a Comment