Zifuatazo
ni dondoo chache za hamasa ya Alfajirik kutoka katika kurasa zetu kumi (10) za
leo
·
Jiwekee lengo lako Mahsusi maishani na
ulisimamie mpaka muda ambao litazaa matunda haijalishi ni vikwazo gani
utakutana navyo
·
Wanasaikolojia wanasema hivi; “Mtu unapokuwa
kweli tayari kwa kitu fulani, umbile la kitu hicho hujidhihirisha bayana
machoni pako yaani unakiona hicho kitu kama kilivyo kabla hata hujakipata”
TABIA
ZA AJABU ZA FURSA
·
Fursa huja ikiwa katika sura tofauti na
ikitokea pande tofauti pia kinyume kabisa na unavyofikiria na hii ni moja kati
ya hila za fursa
·
Fursa ina tabia ya kijanja ya kuja kwa
kujipenyeza kupitia mlango wa nyuma na mara nyingi huja ikiwa imejificha katika
umbile la mkosi au anguko, na ndio maana watu mara nyingi hushindwa kuzitambua
fursa
UNAWAZA
UTAANZAJE BILA MTAJI?
·
Barnes hakuwa na chochote kile cha kuanzia
kama mtaji isipokuwa uwezo wa kutambua ni kitu gani alichokuwa akikitaka na
dhamira ya kuisimamia shauku yake mpaka anafanikiwa.
·
Thomas Edison hakuwa na fedha za kuanzia,
wala elimu kubwa, wala ushawishi, lakini alikuwa na ari, Imani na nia thabiti
ya kushinda. Kwa kutumia nguvu hizi zisizoweza kushikika aliweza kujitengeneza
kuwa mgunduzi namba moja duniani
Leo tarehe 30/07/2025 tutasoma
Pg 9 - 18 nakala ya kiingereza na
Uk. nakala-kiswahili
Soma kilichopita kwnye usomaji huu hapa
Soma kifuatacho kwenye usomaji huu hapa
HUDUMA ZETU NYINGINE MBALIMBALI, VITABU & MICHANGANUO YA BIASHARA
1. KUANDIKA MICHANGANUO YA BIASHARA
Tunaandika mipango ya biashara kwa ajili ya Wajasiriamali na Makampuni inayoendana na mazingira yao halisi kwa gharama rafiki sana, tuwasiliane kwa namba 0765553030 au 0712202244. Unaweza pia kuona baadhi ya kazi za wateja wetu hapa kwa ufupi tulizowahi kufanya
2. KUANDIKA WASIFU WA BIASHARA (COMPANY PROFILE)
Tunaandika company profile zenye mvuto na za kipekee kulingana na maono ya mteja mwenyewe na gharama huanzia Tsh. 50,000/=
3. KITABU CHA FIKIRI & UTAJIRIKE (THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION)
Dar es salaa tunampelekea mteja alipo kwa gharama ya Tsh. 25,000/= na mteja hufanya malipo akishapokea kitabu. Mikoa mingine kwa mabasi ni sh. 35,000/=. Nakala laini (softcopy) kinapatikana app ya GETVALUE popote pale ulipo, bonyeza link hiyo kununua.
4. KITABU CHA MAFANIKIO BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA & GENGE TOLEO LA 2025
Nakala ngumu ni Tsh. 20,000/= Dar tunamfikishia mteja alipo, anapokea kitabu ndipo analipa na Mikoa mingine kwa mabasi ni Tsh. 30,000/= Nakala laini (softcopy) tunatuma kwenye simu au kompyuta ya mteja kwa bei ya Tsh. 10,000/= Pia unaweza kununua mtandaoni kwenye duka letu kwa bofya kiungo hiki>>>Siri ya mafanikio ya biashara ya duka la rejareja 2025 & genge ndani yake
5. VITABU ZAIDI & MICHANGANUO YA BIASHARA
Kupata vitabu vingine zaidi pamoja na Michanganuo ya biashara mbalimbali iliyokwisha andaliwa tayari tembelea Duka letu la mtandaoni kwa kiungo kifuatacho>>>; Augustinopeter bookshop
Watsap/Call/Sms: 0765553030 au 0761002125
Peter Augustino Tarimo
0 Response to "HAMASA YA ALFAJIRI LEO -EARLY MORNING MOTIVATION FROM THINK & GROW RICH"
Post a Comment