KUTIMIZA NDOTO NA MALENGO YAKO MAISHANI, HIZI HAPA HATUA 3 ZA KUTENGENEZA BAJETI YA JAMBO LOLOTE | JIFUNZE UJASIRIAMALI

KUTIMIZA NDOTO NA MALENGO YAKO MAISHANI, HIZI HAPA HATUA 3 ZA KUTENGENEZA BAJETI YA JAMBO LOLOTE

Bajeti na kusaidiana

Katika maisha watu hujiwekea malengo mbalimbali kama vile, kufunga harusi, kwenda kusomea kozi fulani, kununua kiwanja, kununua gari, kujenga nyumba, kufungua biashara na malengo mengine mengi binadamu anayoweza kupanga kichwani mwake. 

SOMA: Maajabu ya kufikiri mambo makubwa na kwanini uweke malengo makubwa maishani

Hapa nimekuletea hatua 3 rahisi sana ambazo mtu unaweza ukazitumia katika kuandaa bajeti itakayokuwezesha kutimiza lengo lolote lile ulilojiwekea kwani duniani hakuna malengo yasiyokuwa na bajeti. Fedha ni muhimu karibu kwenye kila tukio siku hizi iwe ni shughuli au kitu kingine chochote kile.

SOMA: Njia unazotumia kubana matumizi kumbe zinakuzidishia umasikini.

Ili kuweza kutekeleza mpango wowote ule ni lazima kwanza uwe umejiwekea malengo. Hivyo basi huna budi kutambua kiasi cha fedha utakazohitaji pamoja na muda katika kutekeleza mpango wako. Tuchukulie mfano labda kwa kipindi cha kiangazi ungetaka ununue Friza kwa ajili ya kutengeneza Icecream za kuuza pale nyumbani kwako.

Tuchukulie ni  mwezi wa 9 na ungetaka hadi kufikia Desemba mwezi wa (12) basi uwe umeshapata shilingi laki 4 kwa ajili ya kununulia hilo friza. Hii inamaanisha kwamba katika kila mwezi kuanzia mwezi wa 9 utajiwekea shilingi laki moja.

SOMA: Ni mbinu ya kizamani sana ya utunzaji wa pesa lakini wataalamu wanasema ni nzuri kushinda zile za kisasa.

Baada ya kuhakikisha lengo hili uliloliweka ni la kweli na linatekelezeka, kitakachofuata sasa ni kuamua hatua utakazozichukua ili kulifikia lengo hilo. Zoezi hili litahusisha hatua kubwa 3 zifauatazo; ................................................................................................................................................................................................................................................................................................................

Mpenzi msomaji makala hii haijamalizika, unaweza kupata makala zote kamili ukijiunga na group la masomo la MICHANGANUO ONLINE

Ili kujiunga kuna kiingilio cha shilingi elfu 10 tu kwa mwaka kisha unapata na offa ya vitabu mbalimbali na michanganuo ya biashara jumla vitu 14

Masomo yote zaidi ya 100 utayapata yakiwa kamili ndani ya group pamoja na semina za kuandika michanganuo bunifu mara kwa mara.

Kulipia ada tumia namba zetu; 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo

ORODHA YA VITABU NA MICHANGANUO YA OFFA HII HAPA;

                           1.       KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu za BIASHARA, jinsi ya kuandaa michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika kila kitu.kwa Kiswahili

                           2.       KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 tu - kwa kiswahili

                           3.      KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili

                           4.       KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ni maarufu sana duniani, hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza

                           5.      KITABU: Siri za upishi wa chapati laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili

                           6.       COMPILLATION: Masomo 30 ya fedha usiyoweza kuyapata popote, mengine 70 utayapata kwenye group kila siku - kwa Kiswahili

                           7.      MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili

                           8.      MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza

                           9.      MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili

                        10.    MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za saruji- kwa kiswahili

                        11.    MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini Broilerskwa kiingereza

                        12.    MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini Broilerskwa kiswahili

                        13.    MCHANGANUO: Kiwanda cha mvinyo na juisi ya Rosella –Choya Investment – kwa kiswahili

                        14.    MCHANGANUO: Kilimo cha Tikiti maji:- Kibada Watermelon Fruits – kwa kiswahili

 

 

0 Response to "KUTIMIZA NDOTO NA MALENGO YAKO MAISHANI, HIZI HAPA HATUA 3 ZA KUTENGENEZA BAJETI YA JAMBO LOLOTE "

Post a Comment