NI MBINU 1 YA KIZAMANI SANA YA UTUNZAJI WA PESA LAKINI WATAALAMU WANASEMA NI NZURI KUSHINDA ZILE ZA KISASA


MBINU YA KIZAMANI YA UWEKAJI PESA(OLD SCHOOL MONEY TECHNICK)
Usije ukafikiri suala la utunzaji wa fedha ama kuwa na nidhamu ya pesa limeanza juzijuzi tu hapana, tokea enzi na enzi mababu na mabibi zetu walikuwa na njia zao bora kabisa za wakati huo walizozitumia na walijifunza jinsi ya kuishi kwa bajeti katika kuhakikisha mambo yao kiuchumi yanakwenda vizuri na hawaingii katika mikwamo ya kuishiwa fedha ovyoovyo.

SOMA: Elimu ya fedha na umuhimu wake, njoo tuunganishe nguvu tuhamishe milima!

Licha ya siku hizi teknolojia kwenye nyanja ya fedha kuwa imekua sana, tukishuhudia  kwa mfano mpaka ujio wa ma ‘apps’ yenye uwezo wa kumfundisha mtu jinsi ya kuishi kwa bajeti kulingana na kipato cha biashara au hata jinsi ya kupangilia mshahara utokanao na kazi/ajira. 

Kuna apps nyingine pia zinazomwezesha mtu kufanya manunuzi mtandaoni(online) kwa urahisi, lakini bado njia hii ya kizamani sana(OLD SCHOOL…Technick) imethibitishwa na wataalamu wengi wa uchumi kote duniani kuwa inao uwezo wa kumfanya mtu atengeneze nidhamu ya hali ya juu ya pesa na ni bora zaidi kushinda zile za kisasa na isitoshe ni ya kutegemewa.


Njia hiyo ya kitambo unayoweza pia ukaiita mfumo ama siri ya kutunza pesa ni hii hapa chini ndugu msomaji na hata wewe mwenyewe unaweza leo ukaamua kwenda kuijaribu kwani siyo ngumu, ni rahisi itakayokwenda kuufanya mzunguko wako wa fedha kuwa chanya muda wote na hivyo pia kukufanya wewe mwenyewe kutabasamu muda wote kwani ni sheria ya asili kwamba,

MZUNGUKO CHANYA WA FEDHA = FURAHA (POSITIVE CASH FLOW = HAPPINESS)

..............................................................

Mpenzi msomji wa makala hizi, somo hili tutakwenda kujifunza leo katika Group la Masomo ya kila siku WHATSAPP la MICHANGANUO ONLINE. Ili kujiunga katika group hili mwanachama anapaswa kulipa kiingilio cha shilingi elfu 10 tu kwa mwaka mzima wa 2020, na tunakupatia vitu mbalimbali vikiwemo vitabu, masomo na semina zilizopita, michanganuo mbalimbali ya biashara zinazolipa ikiwemo michanganuo maarufu ya kuku aina zote pamoja na fursa ya kuendelea kupata masomo kila siku kupitia wasap na Channel yetu ya telegramu au email ikiwa hutumii wasap.

Ukishajiunga unapakua masomo yote yaliyopia katika channel yetu au kama huna access na telegramu basi tunakutumia kwa njia ya wasap au e-mail.

Malipo ni kupiti namba; 0712202244 au 0765553030 Ukishatuma, tuma pia ujumbe wa "NIUNGE NA GROUP LA MICHANGANUO NA OFFA YA VITU 7" au wasiliana na sisi. KARIBU SANA TUJIFUNZE PAMOJA.


Kupata vitabu vyetu mbalimbali na Michanganuo mingine unaweza ukatembelea duka letu hapa, SMART BOOKS TZ

0 Response to "NI MBINU 1 YA KIZAMANI SANA YA UTUNZAJI WA PESA LAKINI WATAALAMU WANASEMA NI NZURI KUSHINDA ZILE ZA KISASA"

Post a Comment