IJUE SIRI YA KUPATA PESA HARAKA PASIPO KUWEKEZA MTAJI WOWOTE WA MAANA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

IJUE SIRI YA KUPATA PESA HARAKA PASIPO KUWEKEZA MTAJI WOWOTE WA MAANA

Kupata pesa haraka bila mtaji
Kwa miaka mingi iliyopita Binadamu tumekuwa tukisaka siri za kupata pesa haraka kiurahisi au tuseme njia za kupata mafanikio pasipo kutoa jasho jingi. Ndio maana hata leo anapotokea mtu na kudai kuwa anayo siri ya utajiri au dawa ya mafanikio kwa kupitia mgongo wa dini au imani nyingine zozote zile utashangaa jinsi mtu huyo atakavyopata wafuasi wengi.

Licha ya kuwepo hadithi nyingi zinazojaribu kuaminisha watu kwamba eti wanaweza wakapata utajiri haraka bila masharti kutoka kwa waganga wa jadi, au hata kwa masharti magumu kama vile kupoteza maisha baada tu ya kipindi fulani kupita, lakini hakuna mtu yeyote yule anayeweza akayathibitisha madai haya zaidi tu ya kuwa ni stori zinazopigwa vijiweni na imani ndani ya akili za watu.

Na wala hakuna mtu yeyote yule duniani anayeweza kudai hajawahi kabisa kuwaza akilini mwake jinsi ya kupata utajiri kwa haraka, iwe ni kipindi ulipokuwa mtoto mdogo wa miaka 5-12, ulipokuwa shuleni/chuoni unasoma ama hata sasa hivi pale ulipo kama ni mzee au mtu wa makamo, vyovyote vile ulivyo, bila shaka bado utakuwa ukiendelea tu na kiu yako ya kutaka kupata zaidi njia za kufanikiwa katika maisha kwa wepesi.

Haijalishi ni mafanikio gani unayoyatamani, yanaweza yakawa ni mafanikio ya kifedha, kielimu, kiafya au mafanikio mengine yeyote yale kulingana na utashi wako mwenyewe.

Hata hivyo njia ya mafanikio yawe ni ya kifedha, kiafya, kielimu, kiimani au katika nyanja nyingize zozote zile za kimaisha haiwezi kuwepo pasipo mtu kulipia gharama fulani. Na tunapozungumzia njia ya kufanikiwa kifedha au kiuchumi (vyanzo vya utajiri), basi ujue ni lazima tu tutagusa suala la uwekezaji pesa.

Kwa hiyo basi, Mtaji ndiyo habari ya mjini kwa mtu yeyote yule anayetamani kupata mafanikio makubwa kifedha pasipo kupitia masharti mengine ya kimazingaombwe. Hivyo basi unaposikia kuna siri ya kupata pesa kiurahisi bila kuwekeza mamilioni ya shingi kama hii nitakayokwenda kufundisha hapa, bila shaka ni vyema uniazime macho na masikio yako ikiwa kama kweli unayo kiu ya mafanikio.

Katika nyanja ya elimu ya fedha zipo mbinu nyingi wataalamu wa masuala hayo hupendekeza mtu kuzitumia ili kuweza kupata utajiri bila masharti ya ‘kishetani’, naamini pia ninaposema masharti ya kishetani unanielewa, ni yale masharti niliyotangulia kusema pale mwanzoni kwamba yapo zaidi vichwani mwa watu wengi lakini kiukweli hayana uhalisia wowote ule na mifano ipo mingi tu nitakuja kuielezea hapa katika makala zangu nyingine zijazo.

Kwahiyo mtu yeyote akitaka kufamikiwa kifedha katika maisha ni lazima ajifunze elimu ya pesa hata kama siyo elimu ile rasmi shuleni ama chuoni. Ni sharti azijue ‘ABC’ za utajiri maana yake ni nini na wala siyo aishie tu kutamani kupata mali ya haraka bila ya kuzingatia njia sahihi zilizothibitishwa za kupata pesa.

Kwa kuzingatia ukweli huu niliouelezea hapo juu ndio maana JIFUNZEUJASIRIAMALI BLOG tukaamua kuanzisha darasa maalumu mtandaoni (MASTERMIND CLASS) kwa lengo la kujifunza na kujadiliana mbinu sahihi za kupata mafanikio kifedha au kwa kifupi Elimu ya pesa isiyofundishwa vizuri mashuleni na vyuoni. Kwa mfano siku ya leo tarehe 13/07/2023 katika darasa letu linaloanza saa 3 usiku tunakwenda kujifunza somo muhimu sana lenye kishwa cha habari kisemacho;

IJUE SIRI YA KUPATA PESA KIRAHSI PASIPO KUWEKEZA MTAJI WOWOTE ULE WA MAANA.

Jifunzeujasiriamali log hatuahidi mtu utajiri bila masharti wala kugawa dawa ya mafanikio kwa mtu yeyote yule mithili ya ‘waganga’ au ‘manabii’ hapana, ni masomo ya fedha yasiyofundishwa mahali kwingine kokote kule lakini yaliyothibitishwa na wataalamu wa mambo ya fedha kufaya kazi kote duniani.

Ukiwa unapenda kujiunga na masomo haya ya kila siku kwa mwaka mzima ada ni shilingi elfu 10 tu!. Unaunganishwa na group la masomo lakini pia unapewa zawadi/OFFA maalumu ya vitabu na michanganuo kamili ya biashara, jumla ni vitu 12 kikiwamo pia na kitabu changu maarufu kiitwacho, “MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI” kilicho na kurasa 438, chenye course zote za Bishara, Ujasiriamali na Elimu ya fedha kwa undani, unapata kila kitu sehemu moja (everything under one roof).

OFFA hii maalumu ni ya muda na itamalizika muda mfupi hivyo nakusihi uwahi ikiwa kama unaitaka. Ikiwa hupendi kujiunga na magroup basi nijulishe nikutumie tu offa yako. Unaweza pia kuamua nikutumie kupitia email yako.

Kulipa ada tumia namba, 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo. Kisha tuma ujumbe wa muamala na neno “NATAKA OFFA MAALUMU YA VITU 12

Ifuatayo hapo chini ni orodha ya OFFA hiyo ya vitu 12, vitabu na michanganuo utakavyotumiwa mara tu ulipiapo ada yako sh, elfu 10. Na kisha kuungwa group la masomo ya kila siku ikiwa utapenda.

 

                 1.      COURSE/SEMINA: (compiled complete course) ya Jinsi ya kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili

                 2.       KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu za BIASHARA, jinsi ya kuandaa michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika kila kitu.kwa kiswahili

                 3.      KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili

                 4.      KITABU: Siri za upishi wa chapati laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili

                 5.       KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili

                 6.       KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ni maarufu sana duniani na ndio hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza

                 7.       MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini Broilers - kwa kiswahili

                 8.      MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza

                 9.      MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za saruji- kwa kiswahili

              10.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili

              11.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza

              12.    MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili

              13.    Kuunganishwa Group la masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka hatukuunganishi)


0 Response to "IJUE SIRI YA KUPATA PESA HARAKA PASIPO KUWEKEZA MTAJI WOWOTE WA MAANA"

Post a Comment