SOMO LA 3-COVER PAGE, KICHWA CHA HABARI NA YALIYOMO | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SOMO LA 3-COVER PAGE, KICHWA CHA HABARI NA YALIYOMO

Semina jinsi ya kuandaa Michanganuo ya biashara 2022-Somo la 3

SOMO LA TATU

Tutakwenda kujifunza vitu vikubwa 3 ambavyo ni;

KASHA LA NJE, KICHWA CHA MCHANGANUO NA YALIYOMO

Kurasa hizi tatu, jalada la nje, kichwa cha mpango wa biashara na yaliyomo ni vitu muhimu na hutangulia kabla ya vipengele vyenyewe rasmi kuanza.

 

Jalada la nje (cover page)
Vitu muhimu vinavyopaswa kuonekana juu ya jalada la nje ni hivi hapa chini;

           (i)        Jina la biashara ambalo pia ndiyo kichwa cha habari cha mchanganuo wenyewe

          (ii)        Tarehe na mwaka wa kuandikwa mchanganuo huo

        (iii)        Anuani ya biashara pamoja na

        (iv)        Anuani au jina la mwandishi/majina ya waandishi

 

Kichwa cha mchanganuo………………..

 

……………………………somo linaendelea Michanganuo-online

 

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Kumradhi mpendwa unayefuatilia Semina yetu hapa pamoja na masomo mengine tunayoweka hapa katika blogu yako hii, hatuna nia mbaya kukatisha masomo haya ya semina bali lengo letu ni kuhakikisha tunapata watu sahihi walio na nia ya dhati kusoma masomo haya mwaka mzima. Ikiwa wewe ni miongoni mwao basi lipia kiingilio chako shilingi 10,000/= kwa mwaka mzima kupitia moja ya namba zetu hizi, 0712202244 au 0765553030 jina Peter Augustino Tarimo na utaweza kujiunga na familia ya Wanamichanganuo-online kusoma masomo haya kwa kina zaidi.

Katika MSTERMIND GROUP letu hilo wadau huuliza maswali na kuchangia mada mbalimbali hata na mada nyingine ambazo zipo nje ya mada husika, kwa mfano jana kabla ya kuanza hili somo kuna mdau mmoja aliuliza kuhusiana na biashara ya duka la rejareja pasipo kufahamu kuuliza swali lile kwenye group letu ilikuwa ni sawa na Mbuzi kufia kwa muuza supu kwani alinikuta moja kwa moja mhusika mwenyewe mtunzi wa kitabu cha MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA  REJAREJA.

Aliuliza  hivi; “Naomba uzoefu kidogo kwa anayefanya biashara ya duka la jumla na rejareja” na mimi nikampa majibu kama post hiyo inavyoelezea, isome uone familia yetu ilivyokuwa active na hamna swali au mjadala unaoshindikana mbele ya Mastermindogroup kwani tofauti na magroup mengine ya kawaida sisi hatuna makocha wala waalimu bali wawezeshaji na kila mtu katika group ni mwezeshaji ana hadhi sawa na mwenzake huku kila mtu akijifunza toka kwa mwenzake. Group hili hutumia mbinu zilezile alizokuwa akitumia Napoleo Hill wa kitabu cha Think and Grow Rich katika magroup yake enzi zake 

Siku ya leo usiku saa 3 – 4 tutaendelea na sehemu ya nne ya semina yetu na kichwa cha somo kinahusu MUHTASARI TENDAJI. Ikiwa unahitaji masomo haya tafadhali usikose kulipia kiingilio chako shilingi elfu 10 mapema kabla ya tarehe 30/5/2022 siku ya mwisho wa offa kisha Ujumbe wa “NATAKA  SEMINA YA MICHANGANUO NA OFFA YA VITU 20” Nitakuunganisha muda huohuo na kukutumia mara moja vitabu na michanganuo ifuatayo;-    

                      1.      KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI –cha kiswahili

 

                      2.      KITABU: Jinsi ya kuandika mchanganuo mfupi wa biashara (One Page Business Plan) -cha kiswahili

 

                      3.      KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA –cha kiswahili

 

                      4.      KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ndio hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha kiingereza

 

                      5.      KITABU cha mwandishi Tim Berry cha JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA, ni mwandishi nguli wa Michanganuo Duniani -cha kiingereza

 

                      6.      Mchanganuo wa biashara: Kiwanda kidogo cha kutengeneza mvinyo/wine na Juisi ya Rosella -kiswahili

 

                      7.      Mchanganuo wa Kikundi cha Kinamama: Biashara ya kiwanda cha kukoboa mpunga -kiswahili

 

                      8.      Mchanganuo kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –(USADO Milling))-kiswahili

 

                      9.      Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiswahili

 

                    10.    Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiingereza

 

                    11.    Mchanganuo Biashahara ya Ufugaji wa kuku wa mayai - kwa kiswahili

 

                    12.    Mchanganuo Biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji – kwa kiswahili

 

                    13.    Mchanganuo kamili wa kilimo cha matikitimaji (KIBADA WATERMELON)-kwa kiswahili

 

                    14.    Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa kiswahili

 

                    15.    Mchanganuo wa Biashara ya mgahawa (JANE RESTAURANT) –kwa kiingereza

 

                    16.    Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili

 

                    17.    Mchanganuo wa Biashara ya Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili

 

                    18.    Kielezo cha mchanganuo wa biashara (template) kinachokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika Mchanganuo  unaweza kuvifuatisha ukaandika -Kwa Kiswahili

 

                    19.    Kielezo cha mchanganuo wa biashara(template) –kwa kiingereza

 

                    20.    Somo maalumu kabisa la Mzunguko wa fedha kwenye biashara yako -kiswahili

 

                    21.    Kunganishwa group na Channel ya Michanganuo-online mwaka mzima.

OFFA hii inaweza isifike tarehe 30/05/2022 kutokana na nafasi za watu 30 zilizotengwa kuweza kutimia muda wowote.Ikiwezekana lipia sasa hivi kuondoa uwezekanao wa kuja kujilaumu ikiwa kweli kama umehamasika kujiunga na familia yetu na masomo haya. Namba za malipo ni 0712202244  au  0765553030   jina ni Peter Augustino Tarimo

0 Response to "SOMO LA 3-COVER PAGE, KICHWA CHA HABARI NA YALIYOMO"

Post a Comment