JINSI YA KUANZA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YAKO | JIFUNZE UJASIRIAMALI

JINSI YA KUANZA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YAKO

Somo la pili semina ya kuandika michanganuo 2022
JINSI YA KUANZA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA

Katika somo letu la siku ya leo tutakwenda kujifunza vitu vifuatavyo;-

 

1)  Unaanzaje kuandika mpango wa biashara?

2)  Mawazo utayatoa wapi?

3)  Utafiti wa soko/biashara au feasibility study

4)  Vipengele/sehemu za mpango wa biashara

5)  Ni kipengele kipi huanza na ni kipi humalizia.

 

(i) Unaanzaje kuandika mpango wa biashara?

(ii) Mawazo unayatoa wapi?

Ukitaka kuandika mpango wa biashara maswali hayo mawili ni lazima ujiulize.

 

Na jibu lake kwa kifupi kabisa ni kwamba kabla hujaanza kuandika mchanganuo wako wa biashara ni lazima kwanza ufanye kitu kinachoitwa UTAFITI, upembuzi yakinifu au feasibility study

 

(iii) Utafiti wa soko au feasibility study

 

Utafiti wa biashara kwa maana nyingine unaweza ukauita Upembuzi yakinifu, wengine huita utafiti wa soko nk. ni uchunguzi wa maswala mbalimbali yanayohusiana na biashara unayotaka kuifanya au hata ambayo tayari umeshaianza ili kupata majibu yatakayokuwezesha kutekeleza biashara yenyewe.

 

Mfano rahisi kabisa hata ikiwa mtu huna wazo la kufanya utafiti lakini kama unaanza biashara fulani bila shaka ni lazima………………….

 

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

 

Mpendwa mfuatiliaji wa masomo haya utaniwia radhi kwa kukatisha somo hili, lengo langu ni kupata watu sahihi waliokuwa na nia ya kujifunza haya masomo kwa dhati kabisa kuliko kuyaweka hapa yote ambapo wapo pia wasiokuwa na ‘interest’ nayo. Kwa maana hiyo nakukaribisha sana tukutane katika Group letu, MICHANGANUO-ONLINE MASTERMIND GROUP kwa ada ndogo sana shilingi elfu 10 tu na hii ni ya mwaka mzima.Ukilinganisha faida na vitu utakavyopata ada hii ni sawa na kujiunga bure!

Lipia kwa namba 0765553030 AU 0712202244 jina Peter Augustino Tarimo nikuunge sasa hivi na kukutumia OFFA yako ya vitabu ba michanganuo  jumla vitu 20 kabla haijaisha au kujaa. Kumbuka tunahitaji watu 30 tu. Kishatuma neno. “NATAKA SEMINA 2022 NA VITU 20” nitakuunganisha mara moja.

Na vifuatavyo ndiyo vitu(Items) 20 nitakavyokutumia inbox punde tu baada ya malipo ya ada sh elfu 10;-


                      1.      KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI –cha kiswahili

 

                      2.      KITABU: Jinsi ya kuandika mchanganuo mfupi wa biashara (One Page Business Plan) -cha kiswahili

 

                      3.      KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA –cha kiswahili

 

                      4.      KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ndio hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha kiingereza

 

                      5.      KITABU cha mwandishi Tim Berry cha JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA, ni mwandishi nguli wa Michanganuo Duniani -cha kiingereza

 

                      6.      Mchanganuo wa biashara: Kiwanda kidogo cha kutengeneza mvinyo/wine na Juisi ya Rosella -kiswahili

 

                      7.      Mchanganuo wa Kikundi cha Kinamama: Biashara ya kiwanda cha kukoboa mpunga -kiswahili

 

                      8.      Mchanganuo kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –(USADO Milling))-kiswahili

 

                      9.      Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiswahili

 

                    10.    Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiingereza

 

                    11.    Mchanganuo Biashahara ya Ufugaji wa kuku wa mayai - kwa kiswahili

 

                    12.    Mchanganuo Biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji – kwa kiswahili

 

                    13.    Mchanganuo kamili wa kilimo cha matikitimaji (KIBADA WATERMELON)-kwa kiswahili

 

                    14.    Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa kiswahili

 

                    15.    Mchanganuo wa Biashara ya mgahawa (JANE RESTAURANT) –kwa kiingereza

 

                    16.    Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili

 

                    17.    Mchanganuo wa Biashara ya Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili

 

                    18.    Kielezo cha mchanganuo wa biashara (template) kinachokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika Mchanganuo  unaweza kuvifuatisha ukaandika -Kwa Kiswahili

 

                    19.    Kielezo cha mchanganuo wa biashara(template) –kwa kiingereza

 

                    20.    Somo maalumu kabisa la Mzunguko wa fedha kwenye biashara yako -kiswahili

 

                    21.    Kunganishwa group na Channel ya Michanganuo-online mwaka mzima.

Kumbuka mwisho wa offa hii ni tarehe 30/5/2022 na watu wakitimia 30 tu itakwisha hata kabla ya siku hiyo kufika. Tafadhali mjulishe na yeyote unayemjali juu ya habari hizi njema.

Ni mimi,

Peter .A.Tarimo

Mfasiri wa Kitabu cha Think & Grow Rich kwa kiswahili, Mtaalamu wa Michanganuo ya Biashara na pia Mwandishi wa vitabu na makala za Biashara na Ujasiriamali.

 

 

0 Response to "JINSI YA KUANZA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YAKO"

Post a Comment