KWA WAPENZI WA TAFSIRI YA KITABU MAARUFU CHA THINK & GROW RICH(FIKIRI UTAJIRIKE) | JIFUNZE UJASIRIAMALI

KWA WAPENZI WA TAFSIRI YA KITABU MAARUFU CHA THINK & GROW RICH(FIKIRI UTAJIRIKE)


THINK AND GROW RICH (FIKIRI UTAJIRIKE)
Kwa wale wapenzi wa mfululizo wa tafsiri ya Kiswahili ya kile kitabu maarufu zaidi duniani cha elimu ya fedha na mafanikio cha Think & Grow Rich au kwa Kiswahili FIKIRI UTAJIRIKE, tunapenda kuwajulisha kwamba tafsiri ya kitabu hicho kuanzia sura ya 9 hadi sura ya 15 ambayo ndiyo sura ya mwisho mfululizo wake utakuwa ukiendelea kwenye GROUP LA WHATSAPP LA MICHANGANUO ONLINE ambalo kuna kiingilio kidogo cha shilingi elfu 10.


Kuanzia sura ya kwanza ya kitabu hiki mpaka sura ya 8 tulishachapisha katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali na mtu muda wowote anaweza kuzisoma sura hizo free, bila malipo yeyote yale. Sababu ya kuhamishia huko sura zilizobakia ni ili wasomaji angalao wachangie gharama kidogo za uendeshaji kwani kazi hii ya kukitafsiri haikuwa kazi rahisi na imegharimu muda mwingi na hata wakati mwingine fedha, hivyo tunawaomba sana radhi wasomaji wetu kwa usumbufu utakaojitokeza, lakini pia niseme kwamba kwa gharama hizi msomaji atapata fursa ya kunufaika na masomo mengine mengi yakiwamo kozi nzima ya kuandika mpango wa biashara, vitabu na masomo ya kila siku ndani ya group hilo.

Ada ya kujiunga na GROUP inalipwa kupitia namba za simmu, 0712202244  au  0765553030  jina hutokea Peter Augustino Tarimo. Baada ya malipo tujulishe na ikiwa hutumii WHATSAPP hamna shida kwani tunatuma pia kila kitu kupitia email.


Vitu vingine msomaji atakavyonufaika navyo mara tu baada ya kulipa kiingilio cha sh. Elfu 10 ni hivi hapa chini;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Masomo 11 ya semina kamili ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

3.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

4.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

5.  Kuunganishwa na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.

6.  Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

7.  Masomo yote yaliyopita katika group la whatsapp la MICHANGANUO NA MZUNGUKO WA FEDHA.

8.  Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

9.  Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

10.      Ukurasa mmoja wa mchanganuo.

Ukitaka vitabu pia vinapatikana, tembelea;  Smart BooksTanzania.

0 Response to "KWA WAPENZI WA TAFSIRI YA KITABU MAARUFU CHA THINK & GROW RICH(FIKIRI UTAJIRIKE)"

Post a Comment