STADI MOJA YA MAISHA ITAKAYOKUWEZESHA KUINGIZA PESA BILA KUWEKEZA CHOCHOTE

stadi ya maisha inayowezesha mtu kupata pesa bila mtaji
Zipo stadi nyingi nzuri za maisha mtu uazoweza ukajifunza aidha vyuoni, mashuleni au hata katika uzoefu wa maisha ya kawaida ambazo baada ya kumaliza mafunzo utahitajika ama uajiriwe au uwekeze fedha kwenye biashara ndipo uweze kupata kipato kuokana na stadi hizo. 


Lakini kuna stadi moja tu ya kipekee sana ambayo unaweza kuiita ndiyo mama wa stadi nyingine zote duniani ambayo unapojifunza inakupa uwezo mkubwa wa kuingiza pesa yenyewe pasipo hata kuhitaji uwekezaji kutoka pembeni.


Stadi nyingine zote za maisha kwa mfano ufundi wa vitu mbalimbali, utabibu, ujuzi wa kupika, utaalamu wa kompyuta, ufundi magari, utunzaji wa mahesabu, useremala, uashi, uhandisi wa mitambo, udobi, ufundi viatu, ufundi cherehani na kila aina ya stadi za maisha unazoweza kuzitaja hapa zitategemea sana stadi hii maalumu kwa kiasi kikubwa hivyo hata ikiwa unasomea stadi hizi mbalimbali nilizozitaja hapo juu, ni vizuri pia ukahakikisha na stadi hii ya kipekee unakuwa nayo mkononi kama silaha ya kuhakikisha unafanikiwa kwenye kile utakachokwenda kukifanya kwa kutumia stadi uliyosomea.

SOMA: Biashara 7 nzuri za kufanya zitakazokuingizia pesa hata ukiwa umelala.

Stadi hiyo leo katika GROUP letu la Whatsapp la MICHANGANUO ONLINE ndiyo somo tunalokwenda kujifunza. Somo litaanza saa 3 usiku mpaka 4, na kiingilio ni sh. Elfu 10 tu ambayo ni ada ya maisha, mshiriki hatalipa tena malipo yeyote yale ya ziada na group linatarajia kuwepo hewani kwa mwaka wote huu wa 2018 na kuendelea. Masomo ni kila siku ambapo tunakuwa na mchanganyiko wa masomo 2 ya MICHANGANUO YA BIASHARA na MZUNGUKO WA FEDHA. Kauli mbiu yetu ya mwaka huu ni “BORESHA MZUNGUKO WAKO WA FEDHA UTIMIZE MALENGO YAKO 2018” hivyo makala zetu zote za mzunguko wa fedha zinalenga kutimiza kauli hii kwani imthibitika kuwa malengo mengi licha ya sababu nyingine lakini ukata au ukosefu wa pesa ndio chanzo kikubwa sana cha kuzimika kwa ndoto nyingi za watu.


Mtu anawaza aanzishe walau genge la matunda na mbogamboga lakini anakosa hata elfu 20 ya kuanzia. Muda unazidi kupita hana hela mwishowe na ndoto yenyewe inazimika kabla hajaitimiza. Makala hizi zitakwenda kuamsha akili zetu ziweze kufanya kazi vizuri na kuweza kuona vyanzo vya mitaji ambavyo kwa hali ya kawaida inakuwa vigumu mtu kuviona. Simaanishi kwanba kuna vyanzo vya fedha vya kimiujiza hapana, bali namaanisha zile tabia za kijasiriamali ambazo watu wengi walioweza kufanikiwa wamethibitika kuzitumia njia hizo.

Unapoijuiunga na mpango huu, licha ya kushiriki masomo ya kila siku pia tunakutumia muda huohuo softcopy za vitu mbalimbali vifuatavyo;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Masomo 11 ya semina kamili ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

3.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

4.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

5.  Kuunganishwa na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.

6.  Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

7.  Masomo yote yaliyopita katika group la whatsapp ya MICHANGANUO NA MZUNGUKO WA FEDHA.

8.  Mfumo wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

9.  Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

10.      Ukurasa mmoja wa mchanganuo.
Ikiwa hutumii WHATSAP, masomo utapata kama kawaida kupitia blogu yetu ya private inayofikiwa na washiriki tu pia tunaweza kukutumia masomo hayo na vitu mbalimbali vilivyoorodheshwa hapo juu kupitia anuani yako ya EMAIL.

WHATSAPP  0765553030
SIMU:            0712202244
JINA:      Peter Augustino Tarimo

0 Response to "STADI MOJA YA MAISHA ITAKAYOKUWEZESHA KUINGIZA PESA BILA KUWEKEZA CHOCHOTE"

Post a Comment