Zipo stadi nyingi nzuri za maisha mtu uazoweza ukajifunza
aidha vyuoni, mashuleni au hata katika uzoefu wa maisha ya kawaida ambazo baada
ya kumaliza mafunzo utahitajika ama uajiriwe au uwekeze fedha kwenye biashara
ndipo uweze kupata kipato kuokana na stadi hizo.
Lakini kuna stadi moja tu ya kipekee sana ambayo unaweza
kuiita ndiyo mama wa stadi nyingine zote duniani ambayo unapojifunza inakupa
uwezo mkubwa wa kuingiza pesa yenyewe pasipo hata kuhitaji uwekezaji kutoka
pembeni.
Stadi nyingine zote za maisha kwa mfano ufundi wa vitu
mbalimbali, utabibu, ujuzi wa kupika, utaalamu wa kompyuta, ufundi magari,
utunzaji wa mahesabu, useremala, uashi, uhandisi wa mitambo, udobi, ufundi
viatu, ufundi cherehani na kila aina ya stadi za maisha unazoweza kuzitaja hapa
zitategemea sana stadi hii maalumu kwa kiasi kikubwa hivyo hata ikiwa unasomea
stadi hizi mbalimbali nilizozitaja hapo juu, ni vizuri pia ukahakikisha na
stadi hii ya kipekee unakuwa nayo mkononi kama silaha ya kuhakikisha
unafanikiwa kwenye kile utakachokwenda kukifanya kwa kutumia stadi uliyosomea.
SOMA: Biashara 7 nzuri za kufanya zitakazokuingizia pesa hata ukiwa umelala.
SOMA: Biashara 7 nzuri za kufanya zitakazokuingizia pesa hata ukiwa umelala.
Stadi hiyo leo katika GROUP letu la Whatsapp la MICHANGANUO ONLINE ndiyo somo
tunalokwenda kujifunza. Somo litaanza saa 3 usiku mpaka 4, na kiingilio ni sh. Elfu
10 tu ambayo ni ada ya maisha, mshiriki hatalipa tena
malipo yeyote yale ya ziada na group linatarajia kuwepo hewani kwa mwaka wote
huu wa 2018 na kuendelea. Masomo ni kila siku ambapo tunakuwa na mchanganyiko
wa masomo 2 ya MICHANGANUO YA BIASHARA na MZUNGUKO WA FEDHA. Kauli mbiu yetu ya
mwaka huu ni “BORESHA MZUNGUKO WAKO WA FEDHA UTIMIZE MALENGO YAKO 2018” hivyo
makala zetu zote za mzunguko wa fedha zinalenga kutimiza kauli hii kwani
imthibitika kuwa malengo mengi licha ya sababu nyingine lakini ukata
au ukosefu wa pesa ndio chanzo kikubwa sana cha kuzimika kwa ndoto
nyingi za watu.
Mtu anawaza aanzishe walau genge la matunda na mbogamboga
lakini anakosa hata elfu 20 ya kuanzia. Muda unazidi kupita hana hela mwishowe
na ndoto yenyewe inazimika kabla hajaitimiza. Makala hizi zitakwenda kuamsha
akili zetu ziweze kufanya kazi vizuri na kuweza kuona vyanzo vya mitaji ambavyo
kwa hali ya kawaida inakuwa vigumu mtu kuviona. Simaanishi kwanba kuna vyanzo vya
fedha vya kimiujiza hapana, bali namaanisha zile tabia za kijasiriamali ambazo
watu wengi walioweza kufanikiwa wamethibitika kuzitumia njia hizo.
Unapoijuiunga na mpango huu, licha ya kushiriki masomo ya
kila siku pia tunakutumia muda huohuo softcopy za vitu mbalimbali vifuatavyo;
1. Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.
2. Masomo
11 ya semina kamili ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
3. Kifurushi
maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)
4. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza,
ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.
5. Kuunganishwa
na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.
6. Vielezo(Templates)
za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.
7. Masomo
yote yaliyopita katika group la whatsapp ya MICHANGANUO NA MZUNGUKO WA FEDHA.
8. Mfumo
wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM)
unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake
pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
9. Somo
muhimu sana la mzunguko wa fedha.
10. Ukurasa
mmoja wa mchanganuo.
Ikiwa
hutumii WHATSAP, masomo utapata kama kawaida kupitia blogu yetu ya private
inayofikiwa na washiriki tu pia tunaweza kukutumia masomo hayo na vitu
mbalimbali vilivyoorodheshwa hapo juu kupitia anuani yako ya EMAIL.
WHATSAPP 0765553030
SIMU: 0712202244
JINA: Peter Augustino Tarimo
0 Response to "STADI MOJA YA MAISHA ITAKAYOKUWEZESHA KUINGIZA PESA BILA KUWEKEZA CHOCHOTE"
Post a Comment