Kama wewe ni muuzaji wa zao la kunde unakaribishwa katika
blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na
wanunuzi wa zao la kunde Tanzania na nje ya nchi.
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni
kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule
utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu. Njoo
kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa zao la kunde
nikimaanisha unataka kununua zao la kunde, ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji
wa zao la kunde bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini
(scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale
waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya zao la kunde
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako
hapa wasiliana na sisi kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au
0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa
na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA
UUZAJI WA ZAO LA KUNDE lenye ubora wa hali ya juu
KARIBUNI
SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA ZAO LA KUNDE TANZANIA"
Post a Comment