Kama wewe ni muuzaji wa Bajaji mpya au used unakaribishwa
katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana
na wanunuzi wa Bajaji mpya au used.
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni
kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule
utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu. Njoo
kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa bajaji mpya au used nikimaanisha
unataka kununua usafiri wa bajaji mpya au bajaji iliyokwishatumika lakini
inafanya kazi vizuri, ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa Bajaji
mpya na used bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini
(scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale
waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya bajaji mpya
au used
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako
hapa wasiliana na sisi kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au
0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa
na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA
UUZAJI WA Bajaji mpya au zilizotumika-used
KARIBUNI
SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA BAJAJI MPYA NA USED"
Post a Comment