Kama wewe ni muuzaji wa Mbuzi wa kisasa au wale wa
kienyeji unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza
biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa Mbuzi wa kisasa au wale wa
kienyeji.
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni
kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao
wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu. Njoo kabisa na
picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa Mbuzi wa kisasa au wale
wa kienyeji nikimaanisha unataka kununua Mbuzi wa kisasa au wa kienyeji, ukurasa
huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa Mbuzi wa kisasa au wale wa kienyeji
bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini
(scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale
waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya Mbuzi wa
kisasa na wale wa kienyeji
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako
hapa wasiliana na sisi kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au
0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa
na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA
UUZAJI WA MBUZI WA KISASA NA WALE WA KIENYEJI walio na afya nzuri
KARIBUNI
SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBUZI WA KISASA NA WALE WA KIENYEJI"
Post a Comment