Kama wewe ni muuzaji wa simu za Samsung unakaribishwa
katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana
na wanunuzi wa simu za Samsung.
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni
kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule
utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu. Njoo
kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa simu ya Samsung nikimaanisha
unataka kununua simu kali aina ya Samsung, ukurasa huu unaweza kukutana na
wauzaji/muuzaji wa simu za Samsung bure kabisa bila ya malipo yeyote.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini
(scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote basi hutaona
tangazo lolote kuhusiana na biashara ya simu za Samsung
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako
hapa wasiliana na sisi kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au
0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa
na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA
UUZAJI WA SIMU ZA SAMSUNG ZENYE UBORA WA HALI YA JUU
KARIBUNI
SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA SIMU ZA SAMSUNG"
Post a Comment