WAUZAJI NA WANUNUZI WA RICE COOKER | Jifunzeujasiriamali

WAUZAJI NA WANUNUZI WA RICE COOKER

Wauzaji na wanunuzi tz
Kama wewe ni muuzaji wa rice cooker za kisasa unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa Rice cooker.

Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu. Njoo kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee

Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa Rice cooker namaanisha unataka kununua Rice cooker, ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa Rice cooker bure kabisa bila ya malipo yeyote.

Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya viatu vya mitumba

Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125

 

MATANGAZO:

Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI WA RICE COOKER  KWA AJILI YA KUPIKIA WALI NA VYAKULA VINGINEVYO KARIBU!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA RICE COOKER"

Post a Comment