Kama wewe ni muuzaji wa pikipiki viatu vya mtumba unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wengi wa viatu vya mtumba).
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni
kidogo mno karibia na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao
wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu. Njoo kabisa na
picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa viatu vya mtumba
namaanisha unataka kununua viatu vilivyokwishatumika kidogo kutoka ngambo basi
ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa viatu vya mtumba
anayeaminika bure kabisa bila ya malipo yeyote.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari, shuka chini
(scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji basi hutaona
tangazo lolote kuhusiana na biashara ya viatu vya mitumba
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako
hapa wasiliana na sisi kwa namba zifuatazo;
0765553030 / 0712202244 au 0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa
na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA
UUZAJI WA VIATU VYA MTUMBA.
KARIBU!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA VIATU VYA MTUMBA"
Post a Comment