Kama wewe ni muuzaji wa pikipiki Tanzania mkoa wowote ule unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa pikipiki mpya ama zile zilizotumika kidogo tu (pikipiki used).
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni
kidogo mno karibia na bure kabisa na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule
utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu. Njoo kabisa
na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa pikipiki namaanisha
unatafuta pikipiki ya kununua mpya au iliyotumika (used) basi ukurasa huu
unaweza kukutana na muuzaji wa pikipiki pia anayeaminika, bure kabisa pasipo
malipo yeyote ilimradi tu uhakikishe mnafanya mauziano kwa kufuata taratibu
zote halali kisheria. Kwa matangazo yaliyokwishawekwa shuka chini (scroll down)
ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wa pikipiki used au mpya waliojitokeza
basi hutaona tangazo lolote
Kwa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa
wasiliana na sisi kwa namba zifuatazo;
0765553030 / 0712202244 au 0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa
na tangazo bado la wauzaji wa pikipiki used au mpya, kuwa wa kwanza kuweka tangazo
lako hapa.
NYOTE
MNAKARIBISHWA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA PIKIPIKI USED NA MPYA TANZANIA"
Post a Comment