WAUZAJI NA WANUNUZI WA ZAO LA ILIKI TANZANIA | Jifunzeujasiriamali

WAUZAJI NA WANUNUZI WA ZAO LA ILIKI TANZANIA

wauzaji na wanunuzi tz

Kama wewe ni muuzaji wa zao la iliki Tanzania unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako ya iliki uweze kupata wateja wengi wa kiungo hiki muhimu cha iliki Tanzania na nje ya nchi. 

Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu. Njoo kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee

Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa zao la iliki nikimaanisha unataka kununua zao la iliki, ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa zao la iliki bure kabisa bila ya malipo yeyote yale. Unaweza pia kukutana na wakulima wa iliki au watu wanaofanya biashara ya zao la iliki

Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya zao la iliki

Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125

 

MATANGAZO:

Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI WA ZAO LA ILIKI lenye ubora unaokidhi viwango

KARIBUNI SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA ZAO LA ILIKI TANZANIA"

Post a Comment