Kama wewe ni muuzaji wa miche bora na za kisasa ya zao la pilipili hoho Tanzania unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa miche ya kisasa ya pilipili hoho
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo kabisa na picha nzuri ya bidhaa yako tukuwekee hapa
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa miche bora ya zao la pilipili hoho nikimaanisha unataka kununua miche ya pilipili hoho kwa ajili ya kupanda kwa bei rafiki, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa miche ya kisasa ya pilipili hoho kwa bei ya jumla na rejareja bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya miche ya kisasa ya zao la pilipili hoho
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji wa miche ya pilipili hoho tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI AU UNUNUZI WA MICHE YA ZAO LA PILIPILI HOHO KWA AJILI YA MBOGA
KARIBUNI SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA MICHE YA KISASA YA PILIPILI HOHO"
Post a Comment