WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBEGU BORA ZA MACHUNGWA TANZANIA | Jifunzeujasiriamali

WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBEGU BORA ZA MACHUNGWA TANZANIA

Wauzaji & wanunuza wa bidhaa / huduma Tanzania
Kama wewe ni muuzaji wa mbegu bora na za kisasa za machungwa Tanzania unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa mbegu bora za machungwa

Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo kabisa na picha nzuri ya bidhaa yako tukuwekee hapa

Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa mbegu bora za tunda la chungwa nikimaanisha unataka kununua mbegu za kisasa za zao la machungwa kwa bei rafiki, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa mbegu bora za machungwa kwa bei ya jumla na rejareja bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.

Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya mbegu bora za matunda ya machungwa

Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125

MATANGAZO:

Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI AU UNUNUZI WA MBEGU BORA ZA MACHUNGWA



KARIBUNI SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBEGU BORA ZA MACHUNGWA TANZANIA"

Post a Comment