WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBEGU BORA ZA NYANYA CHUNGU | Jifunzeujasiriamali

WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBEGU BORA ZA NYANYA CHUNGU

Wauzaji & wanunuza wa bidhaa / huduma Tanzania
Kama wewe ni muuzaji wa mbegu bora na za kisasa za nyanya chungu unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa mbegu bora za nyanyachungu


Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo kabisa na picha nzuri ya bidhaa yako tukuwekee hapa

Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa mbegu bora za nyanya chungu nikimaanisha unataka kununua mbegu za kisasa za nyanyachungu kwa bei rafiki, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa mbegu bora za nyanya chungu kwa bei ya jumla na rejareja bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.

Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya mbegu bora ya zao la nyanya chungu

Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125

MATANGAZO:

Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI AU UNUNUZI WA MBEGU BORA ZA NYANYACHUNGU



KARIBUNI SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBEGU BORA ZA NYANYA CHUNGU"

Post a Comment