WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBEGU BORA NA YA KISASA YA KARANGA TANZANIA | Jifunzeujasiriamali

WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBEGU BORA NA YA KISASA YA KARANGA TANZANIA

Wauzaji & wanunuza wa bidhaa / huduma Tanzania
Kama wewe ni muuzaji wa mbegu bora na ya kisasa ya karanga Tanzania unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa mbegu bora za kisasa za zao la karanga


Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo kabisa na picha nzuri ya bidhaa yako tukuwekee hapa

Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa mbegu bora ya zao la karanga nikimaanisha unataka kununua mbegu bora za karanga kwa ajili ya kuotesha kwa bei rafiki, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa mbegu ya kisasa ya karanga kwa bei ya jumla na rejareja bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.

Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya mbegu za kisasa ya zao la karanga

Kwa upande wa wauzaji/muuzaji wa mbegu bora ya karanga tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125

MATANGAZO:

Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI AU UNUNUZI WA MBEGU BORA NA YA KISASA YA KARANGA

KARIBUNI SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA MBEGU BORA NA YA KISASA YA KARANGA TANZANIA"

Post a Comment