BIASHARA YA SUPU NA CHAPATI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

BIASHARA YA SUPU NA CHAPATI

CHAPATI NA SUPU

Chapati na supu ni miongoni mwa vyakula vinavyoandaliwa katika migahawa au maeneo mengine ya kuuzia vyakula lakini wakati mwingine vinaweza kusimama kama biashara ya mtaji mdogo inayojitegemea na mtu akauza supu na chapatti tu bila ya kuuza na aina nyinginezo za vyakula. 

Ni biashara maarufu sana kwenye mitaa ya miji mbalimbali kama vile Dar es salaam, Arusha, Mbeya, Mwanza na miji mingineyo. Umaarufu wake unatokana na sababu kwamba watu wengi hupendelea sana kula supu na chapatti hasa nyakati za asubuhi kama kifungua kinywa.

SOMA: Biashara ya mgahawa wa chakula, mchanganuo na mtaji mdogo wa kuanza

Hata hivyo supu na chapatu huweza kuliwa muda wowote ule bila ya kujali kama ni asubuhi, mchana au jioni. Kwa mfano katika mitaa kuzunguka Stendi kuu ya mabasi ya Magufuli,  Mbezi jijini Dar es salaam utakuta muda wa jioni watu wengi wakiwa wameketi kwenye vibanda vidogovidogo walifurahia kula chapatti na supu za aina mbalimbali kama vile supu ya ngombe, mbuzi, supu ya kuku, utumbo na hata supu ya kongoro na vichwa vya mbuzi au ngombe. Wapo pia wanaopendelea chapati kwa maharage.

Ni biashara ambayo kwa haraka haraka mtu unaweza kufikiria ni rahisi sana kuanzisha lakini ugumu wake upo sehemu moja tu, jinsi ya kuweza kutengeneza chapati tamu laini na supu yenye ladha ya kupendeza vinavyoweza kumfanya mteja arudi tena na tena. Ukimudu hitaji hili la msingi basi utaweza kutengeneza faida ya kutosha kwenye biashara hii.

SOAMA: Biashara ya chakula usipokuwa msafi utaiona chungu

Lengo kuu la makala haya ni kuonyesha njia na mbinu sahihi za kutengeneza vyakula hivi, supu na chapatti na kupata matokeo bora kabisa bila ya kubahatisha. Wapishi wengi ukiwauliza ni vipi wanaweza kupika chapatti laini za kuvutia hawawezi kukupa moja kwa moja majibu yaliyonyooka, si kama hawajui kabisa hapana, bali wanapika chapatti na supu kwa kubahatisha na ndio maana utakuta leo wanapika chapatti laini, kesho ngumu, siku nyingne za wastani, basi, hawana formula/kanuni maalumu inayoweza kuwahakikishia chapatti zao zinakuwa bora na laini kila siku.

Kwahiyo ikiwa utapenda kufahamu siri za ndani kabisa za kupika chakula hiki kitamu, chapatti laini na supu kila siku, hakikisha unafutatilia makala yangu hii mpaka mwisho katika MASTERMIND GROUP LA MICHANGANUO-ONLINE 2023, ingawa pia hapa katika blogu ya jifunzeujasiriamali tutaweka dondoo chachechache kama hizi.

SOMA: Unajua biashara ya chipsi kuku, soda inavyolipa Dar?

Kujiunga na Group ya watsap na Channel yetu ya Telegram ya masomo yaliyopita zaidi ya 80 lipia kiingilio cha mwaka mzima shilingi elfu 10 tu kupitia namba zetu hizi, 0712202244 au 0765553030 jina Peter Augstino Tarimo

Ukilipia mapema kabla nafasi hazijajaa unapata ZAWADI/OFFA ya kufunga mwaka ya vitabu na Michanganuo ya biashara/Business Plans, jumla vitu 22 katika mfumo wa nakalatete kwenye simu yako au kompyuta.

Baada ya kulipa sh. 10,000/= nitumie ujumbe ufuatao;

“NATAKA OFFA YA MWISHO WA MWAKA YA VITU 22”

Tuma na anuani yako ya email.

ZAWADI HIYOYA KUFUNGIA MWAKA 2022, VITABU NA MICHANGANUO JUMLA VITU 22 NI HII IFUATAYO;

 

              1.      KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI –cha kiswahili

 

              2.      KITABU: Jinsi ya kuandika mchanganuo mfupi wa biashara (One Page Business Plan) -cha kiswahili

 

              3.      KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA –cha kiswahili

 

              4.      KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ndio hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha kiingereza

 

              5.      KITABU cha mwandishi Tim Berry cha JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA, ni mwandishi nguli wa Michanganuo Duniani -cha kiingereza

 

              6.      Mchanganuo wa biashara: Kiwanda kidogo cha kutengeneza mvinyo/wine na Juisi ya Rosella -kiswahili

 

              7.      Mchanganuo wa Kikundi cha Kinamama: Biashara ya kiwanda cha kukoboa mpunga -kiswahili

 

              8.      Mchanganuo kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –(USADO Milling))-kiswahili

 

              9.      Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiswahili

 

            10.    Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiingereza

 

            11.    Mchanganuo Biashahara ya Ufugaji wa kuku wa mayai - kwa kiswahili

 

            12.    Mchanganuo Biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji – kwa kiswahili

 

            13.    Mchanganuo kamili wa kilimo cha matikitimaji (KIBADA WATERMELON)-kwa kiswahili

 

            14.    Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa kiswahili

 

            15.    Mchanganuo wa Biashara ya mgahawa (JANE RESTAURANT) –kwa kiingereza

 

            16.    Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili

 

            17.    Mchanganuo wa Biashara ya Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili

 

            18.    Kielezo cha mchanganuo wa biashara (template) kinachokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika Mchanganuo  unaweza kuvifuatisha ukaandika -Kwa Kiswahili

 

            19.    Kielezo cha mchanganuo wa biashara(template) –kwa kiingereza

 

            20.    Somo maalumu kabisa la Mzunguko wa fedha kwenye biashara yako -kiswahili

 

            21.    KITABU CHA SEMINA: Masomo 11 ya  michanganuo ya Biashara

 

            22.    Kujiunga GROUP LA WHATSAP & TELEGRAM LA MICHANGANUO-ONLINE

 

Ukishajipatia zawadi hii na pia kama ungependa kupata na kitabu cha THINK & GROW RICH nakala ya Kiswahili, na una Smartphone unaweza kujipatia kwa shilingi elfu 5 tu badala ya sh. elfu 10 bei ya kawaida. Maelezo zaidi ya namna ya kukipata tuwasiliane nikupatie. Kama hujajipatia offa hiyo hapo juu bei ya kitabu FIKIRI & UTAJIRIKE inabakia kuwa sh. Elfu 10 kama kawaida.

Offa kama hizi huwa tunazitoa mara chache sana hivyo nakuomba ikiwa upo makini na masomo ninayoyatoa basi ni fursa ya kipekee kujipatia mafunzo hayo kwa kina kwa gharama hii karibu na bure

 

0 Response to "BIASHARA YA SUPU NA CHAPATI"

Post a Comment