VIELELEZO / VIAMBATANISHO MUHIMU | JIFUNZE UJASIRIAMALI

VIELELEZO / VIAMBATANISHO MUHIMU

SOMO LA LUMI NA MOJA

SOMO LA 11


8. 0 VIELELEZO
Vielelezo au viambatanisho muhimu, ingawa ni hiyari yako kuviweka lakini vina umuhimu mkubwa kwa ajili ya kuweka taarifa na maelezo ya nyongeza msomaji wa mpango wako wa biashara anazoweza kuhitaji. Baadhi ya vitu unavyoweza kuvijumuisha kwenye vielelezo ni kama hivi hapa chini;,…………………..

 …………………….Inaendelea kwenye group la Michanganuo-online

Semina hii iliyofanyika katika group la Michanganuo-online unaweza ukaipata muda wowote ule katika mfumo wa e-book ukiwa mwanachama wa group hilo. Unaidownload katika channel yetu ya telegram au pia tunaweza kukutumia moja kwa moja inbox katika watsap ama email yako.

Kama unahitaji kupata semina hii pamoja na masomo mengine yote yaliyowahi kufundishwa katika group letu zaidi ya masomo 70 jiunge kwa kutoa kiingilio chako sh. Elfu 10 tu na ada hii ni ya miezi 12/mwaka mzima.

Kulipia tumia namba zetu, 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo na ujumbe watsap au sms usemao “NATAKA SEMINA KUBWA YA KUANDIKA MICHANGANUO”

 

  

0 Response to "VIELELEZO / VIAMBATANISHO MUHIMU"

Post a Comment