4.0 TATHMINI YA SOKO
Mambo utakayojifunza ni haya yafuatayo;-
· Wateja wako ni kina
nani?
· Mahitaji ya wateja na
tabia zao
· Kwanini wanunue kutoka
kwako na siyo kwa washindani wako?
· Mwelekeo wa soko na
jinsi wateja walivyosambaa
· Ukubwa wa soko unalomiliki
· Ukuaji wa soko
· Tathmini ya sekta
uliyopo
· Washindani wako wakubwa
· Tathmini ya Nguvu, Udhaifu, Fursa na Vikwazo
Tathmini ya soko imegawanyika katika vipengele vidogo kadhaa ambavyo vyote ili uweze kuviandika unahitaji kupata takwimu na taarifa mbalimbali nje ya biashara yako zinazohusiana na soko au wateja watarajiwa, sekta ya biashara uliyopo pamoja na ushindani.
Taarifa hizi na takwinu mbalimbali utaweza kuzipata kupitia kufanya utafiti wa soko ambao unaweza kwenda moja kwamoja kuwauliza wateja wanaonunua bidhaa/huduma kama unazotarajia kuuza au kwa njia ya machapisho mbalimbali kutoka taasisi na vyombo vya habari kama vile majarida,wajasiriamali, wizara za serikali kama Wizara ya viwanda na biashara, Serikali za mitaa, ofisi au tovuti ya takwimu ya Taifa nk.
Kwenye
utafiti wako wa soko hakikisha unawajua vizuri wateja wako, fahamu idadi yao na
unaweza kujua idadi hiyo…………………..
…………………….Inaendelea kwenye group la Michanganuo-online
Semina hii iliyofanyika
katika group la Michanganuo-online unaweza ukaipata muda wowote ule katika
mfumo wa e-book ukiwa mwanachama wa group hilo. Unaidownload katika channel
yetu ya telegram au pia tunaweza kukutumia moja kwa moja inbox katika watsap
ama email yako.
Kama unahitaji kupata
semina hii pamoja na masomo mengine yote yaliyowahi kufundishwa katika group
letu zaidi ya masomo 70 jiunge kwa kutoa kiingilio chako sh. Elfu 10 tu na ada
hii ni ya miezi 12/mwaka mzima.
Kulipia tumia namba
zetu, 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo na ujumbe watsap
au sms usemao “NATAKA SEMINA KUBWA YA KUANDIKA MICHANGANUO”
0 Response to "MPANGO WA SOKO"
Post a Comment