SOMO LA 8
5.0 MIKAKATI NA UTEKELEZAJI.
Mikakati.
Mikakati ni malengo au vipaumbele vya biashara yako ulivyochagua miongoni
mwa vitu vingine vingi ili kuifanya biashara hiyo iweze kuibuka kidedea kutoka
washindani wengine wanaofanya biashara kama ya kwako.
Unapoitazama biashara nzima kuna
mambo/vitu mbalimbali kama vile, bidhaa/huduma za aina mbalimbali, makundi
tofauti ya wateja, vyanzo mbalimbali vya mtaji, njia tofauti za kuitangaza
biashara, bei tofauti, mauzo au kitu chochote kile kingine. Sasa hebu jiulize
katika makundi au aina ya vitu hivyo mbalimbali, ni kipi unachokipa kipaumbele
zaidi kwenye biashara yako?, na hicho ndicho kinachoweza kuwa moja kati ya
mikakati yako.
Kabla hujaielezea mikakati ya
biashara yako kwanza unatakiwa ufahamu vizuri ni mahitaji gani ya wateja
biashara yako inayoyakidhi pamoja na sifa za kipekee huduma au bidhaa zako
zilizokuwa nazo ambazo bidhaa na huduma za washindani wako hazina.
Katika kipengele hiki cha mikakati,…………………..
…………………….Inaendelea kwenye group la Michanganuo-online
Semina hii iliyofanyika
katika group la Michanganuo-online unaweza ukaipata muda wowote ule katika
mfumo wa e-book ukiwa mwanachama wa group hilo. Unaidownload katika channel
yetu ya telegram au pia tunaweza kukutumia moja kwa moja inbox katika watsap
ama email yako.
Kama unahitaji kupata
semina hii pamoja na masomo mengine yote yaliyowahi kufundishwa katika group
letu zaidi ya masomo 70 jiunge kwa kutoa kiingilio chako sh. Elfu 10 tu na ada
hii ni ya miezi 12/mwaka mzima.
Kulipia tumia namba
zetu, 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo na ujumbe watsap
au sms usemao “NATAKA SEMINA KUBWA YA KUANDIKA MICHANGANUO”
0 Response to "MAELEZO KUHUSU MIKAKATI NA UTEKELEZAJI"
Post a Comment