MAELEZO KUHUSU UONGOZI NA WAFANYAKAZI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MAELEZO KUHUSU UONGOZI NA WAFANYAKAZI

SOMO LA TISA

SOMO LA 9


6.0 UONGOZI NA WAFANYAKAZI
Watu ndio wanaosababisha kampuni au biashara iweze kufanya kazi au kutokufanya kazi. Bila watu watakaofanya kazi hakuna biashara hata ikiwa kampuni ina mtaji mkubwa na rasilimali nyingine nyingi kiasi gani. Katika sehemu hii ndipo unapotakiwa ueleze mfumo wa utawala au uongozi wa kampuni yako, wahusika wakuu wanaosimamia shughuli za kila siku pamoja na wafanyakazi wengine na wasifu wao.

Sura hii huanza kama ilivyokuwa sura nyingine kwa muhtasari ambao utatakiwa uandike yale mambo muhimu kama vile waanzilishi, biashara itaajiri watu wangapi akiwemo meneja/mameneja pamoja na mapungufu ya wafanyakazi kama yapo, na huandikwa baada ya kumaliza sura yote kwanza.

Kwenye sehemu hii ya Uongozi na wafanyakazi, huwa kunakuwa na vipengele vidogo vifuatavyo;

6.1 Waanzilishi wa biashara

6.2 Mfumo wa utawala

6.3 Chati ya utawala

6.4 Pengo la utawala

6.5 Mpango wa malipo

6.1 Waanzilishi
Taja waanzilishi wa biashara, na kama ni wewe mwenyewe sema, huku ukielezea historia zao na wasifu wao,…………………..

 …………………….Inaendelea kwenye group la Michanganuo-online

Semina hii iliyofanyika katika group la Michanganuo-online unaweza ukaipata muda wowote ule katika mfumo wa e-book ukiwa mwanachama wa group hilo. Unaidownload katika channel yetu ya telegram au pia tunaweza kukutumia moja kwa moja inbox katika watsap ama email yako.

Kama unahitaji kupata semina hii pamoja na masomo mengine yote yaliyowahi kufundishwa katika group letu zaidi ya masomo 70 jiunge kwa kutoa kiingilio chako sh. Elfu 10 tu na ada hii ni ya miezi 12/mwaka mzima.

Kulipia tumia namba zetu, 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo na ujumbe watsap au sms usemao “NATAKA SEMINA KUBWA YA KUANDIKA MICHANGANUO”

 

 

0 Response to "MAELEZO KUHUSU UONGOZI NA WAFANYAKAZI"

Post a Comment