MAELEZO YA BIDHAA/HUDUMA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MAELEZO YA BIDHAA/HUDUMA

SOMO-LA-SITA

SOMO LA 6

3.0 MAELEZO KUHUSU BIDHAA AU HUDUMA

Katika sehemu ama kipengele hiki cha maelezo yanayohusu bidhaa au huduma au vyote kwa pamoja, hapa ndipo unapotakiwa utoe maelezo ya ndani kabisa yanayohusu kile kitu biashara yako inachouza. Katika maelezo hayo mara nyingi utakuta ni maelezo tu peke yake hakuna jedwali wala chati, ingawa pia unaweza ukaweka jedwali linaloonyesha bei za malighafi au bidhaa unazonunua kwa ajili ya kuuza.

3.1 Bidhaa au Huduma
Kama kawaida sehemu hii huanza baada ya muhtasari mdogo unaoandikwa baada ya maelezo mengine yote. Baada ya hapo orodhesha na kuelezea bidhaa au huduma unazouza ukizingatia pointi zifuatazo; …………………….Inaendelea kwenye group la Michanganuo-online

Semina hii iliyofanyika katika group la Michanganuo-online unaweza ukaipata muda wowote ule katika mfumo wa e-book ukiwa mwanachama wa group hilo. Unaidownload katika channel yetu ya telegram au pia tunaweza kukutumia moja kwa moja inbox katika watsap ama email yako.

Kama unahitaji kupata semina hii pamoja na masomo mengine yote yaliyowahi kufundishwa katika group letu zaidi ya masomo 70 jiunge kwa kutoa kiingilio chako sh. Elfu 10 tu na ada hii ni ya miezi 12/mwaka mzima.

Kulipia tumia namba zetu, 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo na ujumbe watsap au sms usemao “NATAKA SEMINA KUBWA YA KUANDIKA MICHANGANUO”

 

0 Response to "MAELEZO YA BIDHAA/HUDUMA"

Post a Comment