JE, UNAUZA AU KUNUNUA MBUZI WA NYAMA TANZANIA? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

JE, UNAUZA AU KUNUNUA MBUZI WA NYAMA TANZANIA?

Kama wewe ni muuzaji wa mbuzi wa nyama tanzania unakaribishwa kutangaza katika nafasi hii ili uwafikie watu wengi kwa gharama kidogo, lete na picha zako nzuri zikionyesha mbuzi hao tukuwekee hapa. 

Na pia ikiwa wewe ni mnunuzi wa mbuzi kwa ajili ya biashara aidha unakwenda kuchinja kama nyama ama kuwauza wakiwa hai basi karibu ukutane na wauzaji/muuzaji wa mbuzi hapa.

Nafasi hii mtu yeyote yule anaweza kuitumia kutangaza biashara yake ya kuuza mbuzi wa nyama kwa muda wowote ule atakaoamua kulipia. Kupata nafasi hii au mawasiliano zaidi namba zetu ni hizi hapa; simu/watsap: 0765553030  au 0712202244


0 Response to "JE, UNAUZA AU KUNUNUA MBUZI WA NYAMA TANZANIA?"

Post a Comment