WAUZAJI NA WANUNUZI WA MICHE YA KISASA YA NYANYA MNAKARIBISHWA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

WAUZAJI NA WANUNUZI WA MICHE YA KISASA YA NYANYA MNAKARIBISHWA

Kama wewe ni muuzaji wa miche ya kisasa ya nyanya tunakukaribishwa kujitangaza hapa kwenye blogu hii kupitia ukurasa huu kwa gharama kidogo sana, na kama wewe ni mnunuzi wa miche ya kisasa ya nyanya unakaribishwa pia uweze kukutana na wauzaji wa mbegu hizo za nyanya kwa bei nzuri kabisa.

Nafasi hii ipo wazi mtu yeyote yule anaweza akaitumia kutangaza biashara yake ya kuuza miche ya nyanya ya kisasa na mazao mengine pia ya bustani. Muuzaji njoo kabisa na picha yako nzuri inayoonyesha biashara yako ya mbegu za nyanya au na mbogamboga nyngine tukuwekee wateja wafurike kwa wingi. Karibuni nyote! 

Kwa mawasiliano tumia simu/watsap: 0765553030  au 0712202244

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA MICHE YA KISASA YA NYANYA MNAKARIBISHWA"

Post a Comment